LC YUPO MWENDO WA KAWAIDA KABISA ATA UNAVYOMPITA GAR YAKE INAONEKANA VZUR
2026-11-02 04:14:31
11
Abraham :
mzee kama unajuwa unaenda 100+ toa eco mode utaua engine
2026-11-02 17:11:45
7
Ashifu Muzo :
chuma ipo 180 lkn bado ipo ECO Mode
2026-11-02 04:17:53
25
Andropov Jr :
Hapo LC inastrugle to push the air wall, katika speed kubwa air resistance ni kubwa mno, drag coefficient inaitesa Cruiser
2026-11-03 17:00:36
2
Mboliko :
unakimbizanaje na mtu mwenye hesabu ya kusave lita zake 20 za ⛽? kama mnataka kuaminisha umma kuwa Crown inachapa LC, itanishamtanange, starting point Dar, finishing Point ni CBE Dodoma. hapo tutajua nani yupo fast.
2026-11-01 19:57:39
8
Dr Sadru :
Utaskia hili limeniliza sana😅😅
2026-11-16 17:20:39
1
benyson :
hapo umefuta sahani kbx ukute lc alikuwa kwenye speed ya 100 tu😅😅😅
2026-11-02 05:07:08
1
isk2506_ :
barabara ya wap
2026-11-02 14:05:58
2
WA MANOTI 🛣️ :
Unamwanasheria lakini wakukutetea kaka😂
2026-11-01 19:42:21
5
mwaki sound store :
Ni kubonda tuu😂
2026-11-14 09:02:56
0
Last born🥷🏽🥷🏽 :
Mbn ujaonesha nilivokupita
2026-11-02 17:23:04
1
Shedrack Luca :
alikuwa hana mda nawewe
2026-11-03 07:23:26
1
E j mechanico :
hivi icho ki 2gr kinaweza mkata lc au unajifurahisha mshtue kam mnakimbizana kama utaona ata taa ya brake
2026-11-03 04:57:52
1
John :
2026-11-03 09:15:56
1
P :
kweli unatamba kumkalisha mtu ambaye hana ligi na wewe? hiyo 4gr unaiumiza bure tu.akiamua hata taa za brakes hutaziona.
2026-11-03 15:03:15
0
Being lavian :
huoo motooo
2026-11-03 04:16:23
1
WADUBAI :
Lc hajataka kukamua hapo😁
2026-11-02 11:21:17
0
Hemed Kizaba :
2026-11-04 04:01:57
0
Nestory :
huwez Lc hlf na yeye hakuamulia2 mbn hutoioma
2026-11-02 04:49:17
1
Life_of_curry😎 :
Napenda sana kuona LC 300 inateswaa 😁😂😂😂🙌🏼🔥
2026-11-02 17:11:51
1
sammyshopping2026 :
Baba huu mziki wa crown 2gr mmh🔥🙌
2026-11-14 05:39:20
1
Gilly :
Mafuta uwiiiii
2026-11-03 12:10:05
0
juma mhina :
alkuwa anataarifa kuwa kuna mashindanoo 🤣🤣🤣🤣
2026-11-02 15:11:12
1
ABDULMAJID :
road safi sana😁
2026-11-02 11:42:22
1
TRAVELLER'S TZ 🌴 :
hapo ilitakiwa sport mode ila yote Kwa yote umetuheshimisha ....michezo Forever 🔥🔥
2026-11-02 06:08:57
3
To see more videos from user @escobar_iam, please go to the Tikwm
homepage.