@bardiamaz:

Bardia
Bardia
Open In TikTok:
Region: AE
Sunday 01 November 2026 16:23:25 GMT
825
68
0
2

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @bardiamaz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

FAIDA NA KAZI ZA NYUNGU KWENYE MWILI WA BINAADAMU KIROHO NA HATA KWENYE AFYA NA MARADHI HATA WEWE ITAKUWA HUFAHAMU KWANINI WATU HUTUMIA NYUNGU 👇👇👇 🌿Kwenye njia za hewa kawaida majini machafu upenda kujificha kwenye njia za hewa au pembezoni mwa masikio, ndio mana ukipata tatizo ukitoka damu za pua au maskio ndugu yangu wewe kupona asilimia inakiwa ni asilimia 1 tunakusahau na unapo tumia nyungu  mvuke wake wa dawa ukimbiza hizo nguvu mbaya zinazo leta athari kwenye hatua zako za utafutaji wa rizki kila siku.  🌿Njia za hewa zitafunguka  hata ivyo ukiwa ni mwenye kusumbuka na mafua au kifua kizito allergie isiyo kwisha tumia  nyungu maradhi yote nyemelezi yanakuwa ni yenye kuondoka ukitumia hii nyungu  usaidia kulainisha  makamasi yanayo ganda kwenye mapafu na kukufanya ujihisi mwepesi na hali hiyo kupotea kabisa 🌿Vilevile nyungu hii inaondosha kemikali za vipodozi nankutoa sumu mwilini wako kama umetumia kemikali imepelekea ngozi yako ya sura na mwili tofauti au vyakula tunavyokula kila siku basi inakuwa ni yenye kukuondoshea kabisa hiyo hali 🌿Kwa upande wa mzunguko wa damu Kama unapata hali ya uchovu mwilini mapigo ya moyo kuenda kwa kasi tumia nyungu hii maana ilochanganywa na baadhi.ya vitu kitabibu Faida yake joto la mvuke upanua mishipa ya damu (vasodilation) jambo linalo chochea mzunguko wa damu uwe mzuri na kuwa salama inakuondoshea kabisa msongo wa mawazo kama unakosa usingizi akili yako  inachoka sana na pia saikolojia yako haipo sawa tumia nyungu hii utakuwa salama 🌿Sasa ukitumia nyungu  ukajifunika na blanket au shuka zito  kuvuta mvuke wenye harufu nzuri ya mitishamba inasaidia kutuliza akili na kupunguza uchovu na kukupa usingizi mzuri je ulikuwa wajua hilo? 🌿Hapa itakuondolea vikwazo sugu na kukufungua milango yako kiroho vifungo vyote kama umekuwa ukisumbuliwa na vikwazo kazini upati kazi unasumbuliwa na nguvu mbaya au jini mahaba vyote utavisahau .Ukitumia hii nyungu  itakusaidia sana katika mchanganyiko wa mitishamba  kuna miti inafukuza nguvu mbaya na kukuwacha salama 🌿Tumia nyungu kuweka mvuto kupandisha nyota yako kuondoa vitu vibaya na nishati mbaya katika mwili wako ukitumia tu unausikia mwili wako unakuwa mwepesi ghafla 🔥ANGALIZO KWA MTUMIAJI  inabidi uwe muangalifu  nyungu salama kwa matumizi ipo ofisini kwetu,   usichanganye tu miti bila kuijua, miti mingine ni sumu kwako mtumiaji, Andika comment yako kama unaijua nyungu na unajua nyungu ya aina gani👇  Kama unasumbuliwa na maradhi aina yoyote yale nipo kukusaida kadri maradhi unavyoyatunza ndo yanakuwa sugu hata matibabu yake +255793843507  #plottwiststhatkeepviewersin #kenya #oman #tanzania

About