@mbeya_home_decoration: 🔥 CHIMBO NI MOJA TU, MBEYA NZIMA! 🔥 Unataka kuifanya nyumba yako ipendeze na kuvutia zaidi? Basi usipoteze muda kutafuta mbali! 😍❤️ Mama Vumi tumekusogezea bidhaa mbalimbali za kisasa za urembo wa nyumba kwa bei rafiki kabisa. Kuanzia mazulia, mapazia, maua ya kupendezesha nyumba, vioo, mashuka, blankets, makabati, stendi za viatu na bidhaa nyingine nyingi za nyumbani. 🏡✨ Bei za jumla na rejareja zinapatikana, tunakuhudumia kwa moyo wote! ❤️ 📍 Sido, Mbeya 🚚 Delivery inapatikana. Karibu Mama Vumi, nyumba yako inastahili muonekano wa kipekee! 🔥 #MamaVumi #ChimboNiMojaTu #Mbeya #HomeDecor #NyumbaYakoStyleYetu
MBEYA HOME DECORATION
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 16:57:32 GMT
Music
Download
Comments
Mbarali Kwetu 🌾🌾🌾🌾 :
Nipe bei ya Meza kwanza ndo nitoe ushaurr
2026-11-01 17:08:06
1
Angel ombeni✅ :
Iyo meza laki ikiwa na viti vingap?
2026-11-01 18:37:20
0
Ollie fashion mbeya🛍️👗👖 :
Ayo maua ya migomba shingap jumla
2026-11-01 17:09:52
0
Es :
mtatuziba masikio jamni 😒😒😒
2026-11-01 17:06:13
0
Lainessy 🫶 :
Tutachanganyikiwa bado joh max plaza uwiiiii jaman tuendelee tu uku uku😂🙌🙌
2026-11-01 18:23:08
0
myrah'scakes :
Bhan tutakuja huko huko dukan... Mtatuua sasa.... Huk dubai huk jo max ten tuj na mama vumi.... Mtatuuaa
2026-11-01 18:47:03
0
ESTER SANGA :
maua ya madhabahuni shingap
2026-11-01 19:58:13
0
amina joseph :
biashara ni matangazo fungeni p,a ,i
2026-11-01 19:38:07
0
VeeDreamer :
tutakua tunakuja hukohuko bhn
2026-11-01 18:12:49
0
yuster siwale :
customer care iwe kubwa tu
2026-11-01 20:38:10
0
Missedsoul🦋🩷 :
Hahaha umetuanza wakinga
2026-11-01 20:27:07
0
zayn🦋❤️ :
muwe mnafanya mnada
2026-11-01 19:31:25
0
julianasanga :
Nitakuka boss
2026-11-01 18:00:57
0
Salma Omary 🦋🦋🍓🍓🍓🦋🦋🔴🔴 :
🤣🤣
2026-11-01 18:31:07
0
I.B🥶🥶¢ :
🔥🔥🔥
2026-11-01 17:07:15
0
julianasanga :
😂😂😂😂😂😂
2026-11-01 18:00:13
0
To see more videos from user @mbeya_home_decoration, please go to the Tikwm
homepage.