@visit.kahama: Nini kinaendelea kwa sasa ulipokuwa Mgodi wa Buzwagi Kahama? Baada ya kusitishwa kwa shughuli za uchimbaji wa dhahabu kwa sasa eneo la Buzwagi limebadilishiwa matumizi na kuanzishwa kongani ya viwanda inayojikita katika uzalishaji wa bidhaa zinazotumika kwenye sekta ya madini na utoaji huduma katika sekta ya madini. Tayari baadhi ya wawekezaji wamewekeza katika eneo hilo wakizalisha vipuli na mitambo mbalimbali, wakati wawekezaji wengine wakiwa kwenye hatua mbalimbali za uwekezaji kwenye eneo hilo lenye ukubwa wa zaidi ya hecta 1,300. Pia kimeanzishwa chuo cha Barrick Academy kwaajili ya kutoa mafunzo ya uongozi na stadi za uchimbaji ili kuacha urithi wa kudumu hata baada ya kusitishwa kwa shughuli za uchimbaji. Kama ulikuwa unawaza ni wapi utawekeza pesa zako karibu kongani ya viwanda Kahama. Tafadhali usisahau kufollow account hii, kulike video hii, kusavu na kushare. Hii ni Visit Kahama. Ahsante kwa kutazama. Video Credits: Martinez TV #visitkahama #kahamatown #gold #industrialpark #tanzaniantiktok🇹🇿

Visit Kahama
Visit Kahama
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 17:00:43 GMT
25204
957
31
36

Music

Download

Comments

user5233454526380
Tineer cole :
chuo bei gani
2026-11-02 12:30:06
1
dudyboy5
MAJUKUMU OHS SOLUTIONS :
Nmepamiss Barrick Academy na kula machungwa kule camp😂😂
2026-11-02 04:52:51
3
user6106614431481
user6106614431481 :
sababu ya kufungua nini
2026-11-08 21:18:39
0
mashaka.makoye3
Masha steel :
wizi ndani ya wizi 😂😂😂😂😂
2026-11-03 09:37:20
0
somacha200
somacha :
kwahy zahabu hazichimbwi ten
2026-11-02 20:45:53
2
saba1725
Saba :
Kwa hiyo pale getini tunapita bila kizuizi?.
2026-11-02 03:56:32
2
jamesshigalu
jamesshigalu :
madini yameisha hapo
2026-11-03 05:44:47
1
miriam.emanuel64
MIRIAM EMANUEL :
Mhmhmh
2026-11-01 19:29:38
1
roamer2026_
Damn :
Madini yameisha au mkataba uliisha?
2026-11-01 19:56:27
1
allenedward0004
Smartsama0004 :
😅😂😂 Baada ya dhahabu kuisha ndo wanakumbuka kutoa mafunzo
2026-11-03 12:56:22
0
leonardgidion862
AGENT BUS 🚍 :
kwaiyo wazungu hawapo tena
2026-11-01 20:09:30
1
sharji32
𝕽𝕬𝕴𝕯𝕰𝕽🏴‍☠️ :
dub wangeweka hata short course bn sas wafanyakaz2🫩
2026-11-02 19:35:51
1
frolida.frola
Frolida Frola :
duuuh
2026-11-02 17:45:07
1
joshua.mziray4
Joshua Mziray :
😳😳😳
2026-11-03 11:54:16
1
gemelo966
gemelo :
🥰🥰🥰
2026-11-01 18:18:47
3
To see more videos from user @visit.kahama, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About