@wendefm: Binadamu anapaswa kutambua kuwa maisha yana mwisho, kwani kifo kinapomfika mtu hukatisha mipango na matarajio yake yote aliyokuwa akitarajia kuyatimiza hapa duniani. Hayo yamesemwa na Paroko Msaidizi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Igwachanya, Wilaya ya Wanging’ombe, Padre Ezekiel Mlelwa, wakati wa misa ya mazishi ya mpiga picha maarufu na mkongwe kutoka Igwachanya, marehemu Bw. Steward Lukenda, iliyofanyika leo, Jumapili, Novemba 1, 2026. Padre Mlelwa ameeleza kuwa kifo kinapomfika mwanadamu, hushindwa kuendelea na shughuli na majukumu aliyokuwa akiyafanya akiwa hai, hivyo kuwataka waumini kujiandaa kiroho, kumtegemea Mungu na kuwa imara katika imani, wakitambua kuwa hakuna anayejua siku wala saa ya mwisho wa maisha yake. #nguvuyaupendo❤️🤍 #wendefm

Wende FM
Wende FM
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 17:13:16 GMT
4081
272
10
15

Music

Download

Comments

joseph.ngailla
Joseph Ngailla :
Msalaba huo Father[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-02 01:04:17
1
precious.truck.dri
Jessy TRUCK🚚 🚚DRIVER :
class menti wangu ajawahi kua serious 😁
2026-11-02 05:16:58
0
kyandomakete4
plofessional🙏🙏🙏 :
Amina
2026-11-01 18:59:28
0
precious.truck.dri
Jessy TRUCK🚚 🚚DRIVER :
ila huyu 😁
2026-11-02 05:17:32
0
user38728416211965
neema :
amen[Pray][Pray][Laugh approved]
2026-11-01 17:55:04
1
fatumarashidi702
Fatuma Rashidi :
[Pray][Pray][Pray]
2026-11-01 17:25:43
1
cesy1773
ariani❤️ :
🙏🙏
2026-11-01 17:56:21
0
heliet84
heliet8 :
🙏🙏🙏
2026-11-01 17:49:35
0
To see more videos from user @wendefm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About