@paschal.prisca: 🕊️ TAARIFA YA MSIBA: PUMZIKA KWA AMANI PADRE GODRICK MUNDEWA – JIMBO KATOLIKI SUMBAWANGA 🕊️ Askofu wa Jimbo Katoliki Sumbawanga, Mons. Beatus Christian Urassa, ametangaza kwa masikitiko makubwa kifo cha Padre Godrick Mundewa, Padri wa Jimbo Katoliki Sumbawanga, aliyefariki dunia siku ya Ijumaa, tarehe 30 Oktoba 2026, kufuatia ajali ya gari. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Padre Godrick Mundewa alikuwa Paroko wa Parokia Teule ya Utatu Mtakatifu Chiwanda, Jimbo Katoliki Sumbawanga. Taratibu za mazishi zitaendelea siku ya Jumatano, tarehe 4 Novemba 2026, katika Parokia ya Familia Takatifu Kizwite, Jimbo Katoliki Sumbawanga. Ibada ya Misa ya kumuombea marehemu itaanza saa 3:30 asubuhi. Katika kipindi hiki kigumu cha majonzi, tunatoa pole kwa Askofu, mapadri wenzake, familia, ndugu, jamaa, waumini na wote walioguswa na msiba huu. 🙏 Tuzidi kuiombea roho ya marehemu Padre Godrick Mundewa ili Mwenyezi Mungu amsamehe makosa yake na ampokee katika ufalme wake wa milele. 🕊️ Pumzika kwa amani Padre Godrick Mundewa. AMINA. 📻 Endelea kusikiliza Radio Maria Tanzania popote ulipo kupitia masafa yafuatayo: * Njombe – 97.5 FM * Iringa – 90.4 FM * Mbeya – 91.7 FM * Mafinga – 90.4 FM * Kyela – 106.1 FM * Sumbawanga – 94.5 FM * Ileje – 91.7 FM 🌐 www.radiomaria.co.tz #RadioMariaTanzania #PumzikaKwaAmani #PadreGodrickMundewa #jimbokatolikisumbawanga
AKONAAY PRISCA
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 17:27:06 GMT
Music
Download
Comments
catherinekitalekw :
RIP FATHER
2026-11-03 06:06:10
0
maka :
rest in peace father
2026-11-02 19:43:10
0
monicasenga marwa :
God is good.
2026-11-02 11:25:02
0
Ninsima Beauty 💄💋💅 :
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani 🙏🕊️
2026-11-01 19:42:42
5
celina :
pumzika kwa Amani baba
2026-11-03 17:12:39
1
Martha Polcarp :
pumzika kwa Aman padre.
2026-11-03 17:16:34
1
Lightness Furahini Gwandu :
raha ya milele wapewe eebwana na mwanga wamilele uwa angazie amina
2026-11-03 17:50:59
1
rozinzowa :
mungu mpunguzie adhabu ya kaburi
2026-11-03 13:58:56
1
Cute Pachao :
pumuzika kwa amani
2026-11-03 16:23:05
1
beltha12 :
pumzika kwa amani bab padri
2026-11-03 12:47:07
1
mutuku's girl :
Rip father
2026-11-02 10:16:49
1
winfridahkerubo73 :
Rest in peace Father😭😭😭🙏🙏🙏
2026-11-02 12:27:04
0
user5687909832512 :
Raha ya milele umpe ebwana na mwanga wa milele umuangazie Amina
2026-11-03 10:18:46
1
treasure :
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike Kwa Aman .Amina
2026-11-02 14:53:48
2
selina :
poleni jamani nimeumia sana
2026-11-03 08:33:05
1
zuchu :
apumuzike kwaamani AMIN😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-11-02 14:16:56
1
Francsi Damas :
🥰🥰🥰🥰amen ❤️
2026-11-03 07:33:54
1
user7975025797265 :
pumzika kwa Amani
2026-11-02 09:35:34
1
user6942987402432 :
pumzika Kwa amani
2026-11-02 08:27:15
1
Nemesiana Makhanda :
Apumzika Kwa amani
2026-11-02 09:08:40
1
bokhe anitha :
mwanga wa milele akuangazie ee bwana pumzika kwa aman
2026-11-03 17:51:53
1
janeth :
mwenyez mung aipumzishe mahal pem pepon roh yake
2026-11-03 07:57:54
1
glozy :
raha ya milele umpe ee bwana
na mwanga wa milele uniangazie
2026-11-02 14:54:31
3
devothapeter405 :
😭😭😭😭😭 apumzike kwa Amani baba yetu
2026-11-02 15:33:38
1
LightmaxG cosmetics :
Pumziko kwako
2026-11-02 08:36:35
1
To see more videos from user @paschal.prisca, please go to the Tikwm
homepage.