@kefaobwanga: #lissu #tanzaniatiktok🇹🇿 #rutokenya #kagamerwanda #kakayaketundulissuafarikidunia @uweza-tendela🇹🇿 @Øfficially likiibøy Mpøle🦅✌ @TJ Wise 💡

Kefa Obwanga
Kefa Obwanga
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 17:42:48 GMT
46366
1935
171
74

Music

Download

Comments

regina.motta40
Regina Motta :
Simama BABA umtetee mtumishi wako maana wewe ni hakimu wa Mahakimu🙏
2026-11-05 07:00:32
8
rosemose8521
rosemose :
Mungu simama umtetee huyu baba
2026-11-04 20:16:31
1
baraka2536
Baraka Diyame :
mungu yupo upande wako mwamba wetu
2026-11-03 13:07:11
6
estamwasalwiba
Esta Mwasalwiba :
mungu yupo pamoja na wewe lissu.
2026-11-04 20:28:17
2
jabemadi2019
jabe :
Mungu Baba fanya kitu kwa huyu ndugu, waTz wengi wamekulilia sana juu yake, wahurumie Baba
2026-11-04 18:42:22
1
stellaringo17
Stella Ringo :
Mungu wa mbinguni simama ata kwa hili tarh 6 ufanye jambo akamzike kakaake ndio dua na maombi yangu siku ya leo aminaa
2026-11-03 06:05:19
5
julieth.hosea
omi g :
mungu tetea kiumbe.chako
2026-11-04 15:24:07
1
forgohzcmlg
Dorcas :
Mungu yupo kazini usige moyo anakuchonga u have to be very strong 💪
2026-11-04 11:01:16
1
ipyanamwampegete
ipyana mwampegete :
Neema ya Mungu iwe juu yako.
2026-11-04 21:16:31
1
user2219151747073
user2219151747073 :
mungu usimuache list muokoe na maadui
2026-11-06 17:14:34
1
lydia.cylilo
Lydia Cylilo :
yakabidhi mwenyezi Mungu
2026-11-06 16:53:57
1
mariam.b117
mamu🧸♊ :
mungu azidi kumtetea baba ang😭
2026-11-06 12:23:09
1
nybhiln
CRNILN :
baba ktk jina la yesu mungu najua utafanya kitu
2026-11-04 10:07:55
1
alexanderthegreat1122
Alexander Great :
MUNGU ni mwema
2026-11-05 18:32:50
1
user4061002008485
briah2004🥰 :
aminaaa
2026-11-05 21:08:29
1
rebeca.samwel8
Rebeca Samwel :
mungu wa elia Fanya jambo
2026-11-05 18:45:34
1
menidorampogole
menidorampogole :
..Mungu wangu ninayekuomba usiku na mchana,mtetee Lisu🙏
2026-11-05 16:41:32
1
ipyanamwampegete
ipyana mwampegete :
Mungu akusaidie lisu pore
2026-11-04 21:15:09
0
paulmasatu0
paul masatu :
mkeli wa uhakika
2026-11-04 17:38:41
1
siciliacosmas
rey_cute :
mungu amsimamie shujaa wetu
2026-11-06 18:48:58
1
mariammwambela565
mamymummh :
Mungu mtienguvu huyu shuja wetu
2026-11-05 21:11:49
1
leticia.muyomba
Leticia Muyomba :
mwenyezi Mungu wewe ndio ulotuumba sisi wanadamu hatuna la kufanya yote tu na kuachia wewe uamue
2026-11-05 12:05:20
1
eysan077
user7252610459870 :
MUNGU naomba umkumbuke LISSU YATOSHA Machungu aliyo pitia
2026-11-05 10:54:57
1
stanslaus.majonge
STANSLAUS MAJONGE :
mungu wetu wambingu akutoe jela
2026-11-03 08:50:30
1
modesterdismasi
Modester Dismasi :
shuka mungu wangu ingilia kati kwenye hiv vita msaidie mwanao lisu kwa wakati huu mungu wangu😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-11-05 08:39:14
3
To see more videos from user @kefaobwanga, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About