@nzasaparishmedia: Historia fupi ya Siku ya Marehemu Wote (2 Novemba) Siku ya Marehemu Wote ni siku ambayo Kanisa Katoliki huwaombea waamini wote waliotangulia mbele ya haki. Kanisa linatukumbusha kuwaombea marehemu, kuwaenzi na kuendelea kuwa na matumaini ya ufufuko na uzima wa milele kupitia Yesu Kristo. Ni siku ya sala, tafakari na kumbukumbu ya wapendwa wetu waliotutangulia. Ee Bwana, uwapumzishe marehemu wote mahali pema peponi. Amina. 🙏
NZASAPARISH
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 17:58:08 GMT
Music
Download
Comments
M💫💕F :
continue rest in peace
2026-11-02 07:23:32
0
odethakilumile :
marehem wote wapumizike kwa amani🙏🏿🙏🏿🙌🙌
2026-11-02 04:55:35
18
lay💋💋 :
Daaah alafu me ndo sku yangu ya kuzaliwa 2 novemba jmb
2026-11-02 05:35:50
2
asifiwe kilas :
baba kaka na ndugu wengi mupumuzike kwa amani[Crying][Crying][Crying][Crying]
2026-11-02 06:28:43
0
Stephen'sprincess❣️❣️ :
Rest in peace lovely one's
My grandma Christine
My brother Godfrey
My father Ezekiel
continue resting in peace our beloved😭😭
2026-11-02 06:52:12
1
Essie shee❤️ :
R.I.P mum
2026-11-02 06:44:02
0
💦MS_RORO🦋👻 :
Mama yangu na marahemu wote raha ya milele uwape Ee bwana na mwanga wa milele uwaangazie
2026-11-02 06:45:29
4
Nemah :
Baba yangu na watu wote walio tangulia mbele za haki😭😭😭
2026-11-02 07:11:31
3
Avdashii🩵🩵 :
R.i.p my mom and Dady Raha ya milele iwaangazie kiroho npo nanyi 🫶🫶
2026-11-01 21:53:31
12
@Rachel0852🌹✌️❤️ :
R.i.p my son still miss you a lot ❤️☘️
2026-11-02 05:45:10
1
Ali pha :
RIP Dad
2026-11-02 02:51:35
0
user3777399229657 :
baba na mama pamoja na marehemu wote wapumzike kwa amani
2026-11-02 08:10:22
0
pkopin💞🐪📌 :
my mum na marehemu wote Raha yamilee uwapee na mwanga wamilele uwangazie wapunzike kwa Amani Amina🙏
2026-11-02 07:16:09
1
desdelius :
Rahat ya milele uwape eeee bwana na mwanga wa milele uwaangazie marehemu wote wapumzike kwa Amani
2026-11-02 06:26:01
2
💅MAMUU 🫶 :
baba angu mzazi
mama angu mazazi
mwanga wa milele na furaha ya milele iwaangazie mpumzike kwa aman.
2026-11-02 08:13:40
0
Monic :
Pumzika kwa amani baba yangu ,Babu zangu ,bibi zangu , baba zangu wadogo ...natumai siku Moja tutaonana tena 😭😭😭😭🙏
2026-11-02 05:01:09
1
Elimina Kasiani97654129867543 :
pumzikeni kwa amani ndugu zangu wote mliotangulia mbele za haki
2026-11-02 04:11:00
3
Anna beuaty salon 🥰 :
Baba yangu na watu wote walio tangulia mbele za haki 😭😭😭😭😭😭
2026-11-02 07:25:44
1
Tumain Mdetele :
pumzika kwa aman baba dada na na Babu na bibi na wajomba na shangaz
2026-11-02 03:47:46
2
Miss Winnie🥇 :
wapumzike kwa amani marehemu wote🙏🙏
2026-11-01 23:00:41
2
@Thomas1 :
pumzika kwa amani babaangu
2026-11-02 05:26:23
1
happytz :
raha ya milele umpe ee bwana mamayng mzazi na marehem wooote
2026-11-02 06:42:30
1
Yusta :
pumzikeni kwa amani
baba
mama
kaka yangu wa pekee abel
2026-11-02 04:36:00
1
sarahmtizi26 :
eeeh mungu uwapumzishee kwa amani marehem wote na mwanga wa milele uwaangazie 🙏🙏🤲🤲🤲🤲
2026-11-02 05:28:04
1
Emmy 🥰🕊️ :
R.I.P mwanangu na mdogo wangu mwanga wa milele uwaangazie mpumzike Kwa aman 🙏🙏
2026-11-02 05:53:34
1
To see more videos from user @nzasaparishmedia, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.