Kweli nimeipenda hii, naona kama iwe party au sehemu kwenye sherehe zetu hiki ni kitu muhimu saana kuliko hata keki wala zawadi, hii ndo maana ya sherehe kuvunja na kupata baraka ya kuanza upya,
2026-11-02 05:22:35
1
Melissa :
huyu mc anapatikana wap
2026-11-01 19:37:46
6
Lilian Msacky :
nimelia jaman mama yangu nisamehe popote nilipo kosea nibariki mama yangu nakupenda sana najiambatanisha na hizi baraka
2026-11-02 04:58:23
1
Dr. urio :
mimi sijaelewa hapo
2026-11-01 19:32:34
0
Msuya Jr🤪 :
Kweli huyu Mama namtaka afike kwenye ndoa yangu
2026-11-02 04:11:03
1
saadasaid :
Mungu amlinde huyu mama kwa maneno aliyoyasemma hapa,dah machozi yamenitoka.
2026-11-02 04:20:41
1
Marium Omari :
mungu ampe mc maisha marefu
2026-11-02 06:38:26
0
Dora yassin :
😭😭😭😭Hadi nimelia jmn
2026-11-02 06:31:52
0
Hopeh De Joh :
kaz nzuri mc
2026-11-01 19:30:10
3
Oliver Sanga :
Amina
2026-11-01 18:57:17
2
Rebecca😍 :
wamama wengi hua hatukumbuki hayo maombi tunakimbilia ni zawadi tu
2026-11-02 06:58:29
0
@mimi :
🙏
2026-11-02 06:55:28
1
Ms Obimoh🦋 :
2026-11-02 06:52:58
0
amina23 :
nikweli kabisa wazazi tunawakosea mara zote lakin Kuna steji ikifika lazim wawaape baraka ili maisha yaendelee
2026-11-02 06:46:36
0
susanazenda :
Tangu nimeona ulimwengu Leo nimeshuhudia jambo njema kwa Mama huyu ,ni funzo mkubwa sana,ubarikiwe sana Mama Naomba namba yako naamini utanisaidia Mama.
2026-11-02 06:31:16
0
mwajux85 :
mashallh maneno ya hekima kbsa
2026-11-02 06:23:20
0
mmk :
kweli kabisa
2026-11-01 18:51:05
0
To see more videos from user @cuthberttz, please go to the Tikwm
homepage.