wangu ana mwaka 1 akishikwa na babaake analia mpaka huruma akishikwa na mtu baki furaha kama yote nashukuru sumu nilimnywea kabla sijamzaa
2026-11-02 10:35:23
5
mwasha :
Mimi na miaka yangu hiii ndio baba yangu kanitafuta ety mimi ndo baba yako asa cjui alijua alijitambulisha nitamfulahia nikamjibu aya nikaondoka ndani natoka ananiuliza mbona ujafulahi kuniona yaani kama unamuona mtu wa kawaida nikakosa cha kumjibu yule baba kwakweli
2026-11-02 15:16:45
0
munitafute :
kwer
2026-11-02 13:48:25
1
Riziki Umazi :
😘😘😘😘😘😘Sawa Sawa dadaa
2026-11-02 13:56:57
1
prisca.saidi :
mm toka amkate Nina mimba ya wiki mbili baasi mpaka Leo Miaka 7 hajawahi kumuona wala mawasiliano Tu yani na hata mtafuta