@davidtry4ne: Maneno aliyoyasema Tony Kapola baada ya Nay wa Mitego kwenye osborns experience kumkosoa sio mazuri kabisa. Hebu sikiliza mwenyewe alafu utuambie kama ni sawa. #tanzania #kenyantiktok #swahiligospel #gospel #neno #fypシ゚ #tonykapola
hakuna mtu atamuongelea vibaya pastor tonny nikamuelewa
2026-11-02 07:30:38
29
nancy🦋 :
God bless you, at least someone says
2026-11-02 19:59:33
1
mangrovesense :
Vijana wanataka injili ya kutiwa moyo hawataki kuhubiriwa ukweli na ndo maana wanadanganya...
2026-11-02 03:31:51
30
🦁👑 :
Truth bro
2026-11-03 07:27:38
1
Robert Vital :
huyo sio paster
2026-11-01 20:06:42
11
Francesco Justus :
sisi hata mumseme vibi bado tanae natuna frooo naee mpak mwisho
2026-11-02 06:47:07
12
Lemi Malulu :
Halafu pia walianza vizuri wakiwa na mafuta ya Mungu ika sasa Mungu ameawaacha coz wamejiiinua na wameondoka kwenye kusudi kwa sababu, walipomjua Mungu hawakumtukuza kama ndiye Mungu wala kumshukuru; bali walipotea katika uzushi wao, na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza.
--Warumi 1:21 Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika;
--Warumi 1:22 wakaubadili utukufu wa Mungu asiye na uharibifu kwa mfano wa sura ya binadamu aliye na uharibifu, na ya ndege, na ya wanyama, na ya vitambaavyo.
--Warumi 1:23 Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao.
--Warumi 1:24 na hii ndiyo sasa watumishi wengi wenye majina wanayaoyapitia
2026-11-01 19:51:29
15
sisters closet. :
mimi namuelewa sanaa yani mnooo NA MUNGU AMBALIKI MCHUNGAJI WANGU
2026-11-02 04:32:39
12
Benzo :
Kwahyo nyie mnaonaga hapo hua kuna mchungaji
2026-11-02 00:16:20
14
vee bakery :
kwani huyu baba kakukosea nini?
2026-11-02 15:46:14
2
🌸Realbagstz_🌸 :
why would he even have time to answer mambo ya mtandaoni surely
2026-11-01 20:45:37
10
Hellen :
Tunamuelewa Sana so mungetuacha tu
2026-11-02 14:52:01
0
Mrs_Moo :
sjawah muelewa huyu baba Mungu anisamehe kwkkwel i cant evern forcing myself to.listen him..
. moyo wangu unakataa kabsaaa sjh n mm tu jmn
2026-11-02 17:58:57
3
Isack daniely :
Pastor tony kapola ni the best.
2026-11-03 17:00:56
1
mangrovesense :
Mtumishi wenu anapenda mashindano ambayo hayana maana...
Vijana wanataka kuhubiriwa mambo ya material things/ mafanikio, pesa n.k...wataendelea kudanganywa Sana..Nawaombea waijue Kweli ili wawe huru..
2026-11-02 03:34:37
13
Lemi Malulu :
Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
--Warumi 1:28
2026-11-01 19:52:03
8
Lemi Malulu :
Well said mtumish sometimes tuwe makini sana na hawa watumishi wa Mungu
2026-11-01 19:47:32
8
.Clara_official.tz✨🩸✨ :
kwenye haya maisha ukipata pesa muombe Mungu maombi kama ya Mfalme Sulemani hekima. tu
2026-11-01 21:41:16
6
kipingu____enterprises :
Kwa tulipofikia kama imani yako inahitaji kuongozwa tayari ni mtihani mwengine.
2026-11-02 06:42:04
4
Fancy_bridal :
David Tryphone?
2026-11-02 07:58:09
1
A. Living :
mkuu kuwa makini.. it may be true but remember hekima inakuja kwa watu wenye uelewa. don't be haste to speak what it seems wrong or true. ni sawa na unamkosoa baba ako au mtu alie kuzidi umri mtu mwenye experience without wisdom. sometimes is more better and beneficial to be quiet .... always quiet people are wiser... keep your mouth shut hatakama unamoto haimaanishi ndo uutumie now. Jesus alifahamu masadukayo na mafarisayo wanakosea lakini alikaa kimya mpaka alipofikisha miaka 30. the same to you wait until u mature enough in the word of God, and the day of your manifestation will come... or you will kill what God has started in you.
ni maoni yangu tu
2026-11-01 21:32:41
0
eyana_bakeries :
Polishing the name of Jesus in the end baada ya kutumia maandiko out of context
2026-11-01 20:57:57
1
Veronica 💕 :
Sipendi kuwakosoa watu wew upo kamili?
2026-11-02 07:05:01
1
Bury ❤️ :
Sio Lazma Kila mtu amuelew 😊na after roll hajaitw kwa ajil ya kila mtu 🤭🙌sisi amekua baraka kwetu ,ukija kubisha hakikisha unawez,battle
2026-11-02 08:26:21
1
To see more videos from user @davidtry4ne, please go to the Tikwm
homepage.