Korea ipi hyo kaka mbona mm nipo hapa sioni hyo kazi
2026-11-01 21:29:16
68
Makamo wa Raisi :
Habiwi mtu mshatuibiya sana
2026-11-02 04:37:46
11
Obidh Alkhamisi :
laki tatu tena kwa mwezi
2026-11-02 03:07:53
17
suzy paul :
laki tatu kama bongo jamani au laki tatu ya Korea mmmh
2026-11-02 06:41:40
0
Maawy :
Hapo ni Korea ama Pemba jamani?
2026-11-02 08:00:18
6
Muna Bhai :
Good Advertisement
2026-11-02 14:15:00
0
mazrui27 :
south corea ukitulia unafany la maan kuna hela san
2026-11-02 07:25:40
7
jumalakers :
Mshahara haulipw kwa siku unalipwa kwa mwezi hebu weka sawa hiyo laki tatu ni kwa mwezi?
2026-11-02 04:47:18
6
iluu sheby :
nataka
2026-11-02 11:36:16
3
Rasta Amy :
tupe namba za ali boti
2026-11-01 21:01:42
7
Mgeni J Mgeni :
Laki tatu Bongo zipo kabisa ungesema Milioni huko hapana
2026-11-02 03:25:42
2
Mwagito :
anapatikana wapiii tunaomba namba ya uyoo ally but
2026-11-02 14:22:17
1
ZAINAB ABDULLAH :
sina nauli brother nisadie
2026-11-02 06:32:15
0
Cyprian Martin :
Hiyo Korea ipi ya kusini Au kaskazin
2026-11-02 13:52:52
0
ar9694 :
za Kenya ama....
2026-11-02 09:04:33
0
Lehman Okello :
lakhi 2 za Kenya ama Tanzania ama Zimbabwe ?
2026-11-02 11:44:26
1
@Maisha yaliyofichika# :
wabongo ukiwapa mchongo wanakubeza ukikaa kimya wanasema unaroho mbaya, ingekua wakenya wangechangamka sana , hii ya Korea mi mwenyewe kuna rafiki yangu anaenda January sema yy anaenda ya mashambani.
2026-11-02 14:53:36
1
mama Nuru :
kuhusu lugha je najua kiarabu tu
2026-11-02 04:25:10
1
chef davy :
mnasema mnatupeleka korea kumbe mnatupeleka Ukrain tukapigane vita
2026-11-02 13:23:11
3
kahange family :
nafikaje kaka
2026-11-02 11:40:57
1
To see more videos from user @aliboti52, please go to the Tikwm
homepage.