Usiskilize hao wanaosema wimbo ni mbaya, ni mbaya Ndio lakini usiwasikilize🥰🥰🥰
2026-11-01 20:00:25
58
merys 566 :
Mziki wa lbra ndo mzur cielew hapo ND nn jmn ambao haujaeoew km mim
2026-11-01 20:00:18
25
👑princess jenny👑 :
huu wimbo ni mm tu sijauelewa, kidogo melody ya mwanamke inashawishi
2026-11-01 19:43:35
30
BROTHER JEFF :
mkweee humuwezi ibraah wimbo gani huu 😂😂😂
2026-11-01 21:15:21
11
𝓟𝓾𝓷𝓲𝓼𝓱𝓮𝓻👊 :
huu WIMBO n nzur ka hujasikiliza album ya ibra
2026-11-01 19:37:51
21
Jabez🌸💝 :
Team ibrah kujeni hapa
2026-11-01 21:55:02
13
Shenn'b Dickey :
Hii ngoma inabamba sana Earpods zikiwa zimezima😳
2026-11-01 22:03:17
3
Crystal 🦋 🤍 :
kwann mkeo amjibu vile ibra
2026-11-01 20:49:36
10
spiffer :
mnaosema wimbo mbaya subirien baada ya week
2026-11-01 20:39:08
17
naomijankal :
bad kama bad
2026-11-01 22:58:55
0
Mom🌸🦋 :
Nyimbo ni mbaya ila ukiiskiliza mara nyingi inazidi kuwa mbaya
2026-11-01 22:01:26
6
lusda🥰🍎 :
endelea kutoa ngoma usisikilize maneno ya watu 🤣
2026-11-01 19:22:44
16
santos :
bigman
2026-11-01 22:09:35
0
Dullow bway :
kwanini umemuogopa ibraah
2026-11-01 20:04:05
7
sSebe :
you lLvoe 💋💖🙏😇 you lLvoe
2026-11-01 21:28:01
0
morris :
hamna kitu hapa
2026-11-01 22:22:38
1
mayassa-david :
huyo ibrah wenu hata kama anajua marioo ni mmoja tuh🥰🥰🥰🥰
2026-11-01 20:56:50
0
Baby liser💅 :
Honestly guys nyimbo mbaya🤔
2026-11-01 21:41:15
4
Rocklighter 001 :
Kila mtu na nyimbo zake kwani nilazima watu wafanye kolambo ndo uonekane wajua kuimba kuliko mwegine, Kila mtu anasababu zake don't judge a book guys peace ✌️✌️
2026-11-01 22:04:58
1
Ad Draxler.🐧 :
ibraah
2026-11-01 21:30:18
4
nasraa :
omary msalimie paula wimbo wako nimeelewa tu apo shagala😁😁😁😁
2026-11-01 19:51:43
3
merrsa :
wanao sema wimbo mbaya jalibu kuwaelewa2 wanateseka na mapemzi na mm nikiwemo bana usituchangamye tupe na zakwetu
2026-11-01 21:49:52
2
dakota** :
oya mwenzetu acha kuvimba
2026-11-01 21:42:37
2
To see more videos from user @marioo_bad, please go to the Tikwm
homepage.