Acheni tujipambanie msituchanganye ukiona na koloma unasepa kimya kimy t
2026-11-02 15:57:27
3
@iem vee🦋🦋💖💖 :
achaaa nikolomeee tuuu maaan sio kwa hil lifee la sasa ela inayotoka kwenye mfukoo wa mtuuu ngumu shafiiii we hujui wanawake tunatesekaaa sana wengin wanatendewa vitendoo vyakikatilii kisaaa hela achaa tupambanee tuu we tuvumilie nakukolomaaa kwetuuu
2026-11-02 14:11:52
1
💗🫧𝑩𝒂𝒃𝒚_𝑳𝒊𝒛𝒛𝒚🎀 :
Nikishazaa kwa uchungu ndo ntaach kupamban😂
2026-11-01 20:22:04
2
MP.maria :
mungu wangu Mimi mwaka unaisha sasa ninachomiliki ni huai tu jamn naomba tuombeane tu nikiwaza nalia sana. mm
2026-11-02 10:14:25
2
mwiza199 :
😁😁😁
2026-11-02 16:36:42
0
Mary Osward :
hatun wakutupambania😂😂
2026-11-02 20:11:06
0
ms🌹 Minaah :
Hamuhongi😂
2026-11-02 21:00:17
0
cool ney :
kuomba ni aibu
kuambiwa sina ni aibu zaidi
Bora nijipambanie tu