Raha za milele ziwaendee wapendwa wng🤲
Baba yng😭
babu na bibi😭
kaka na dada😭
uncle's na auntie 😭
pamoja na marafik😭 zng tuliofahamiana na tusiofahamiana....... 🙏
2026-11-02 06:01:00
53
naitwa Tima🐇 :
kuna watu wanaogopa kukaa na huu wimbo kweny sm zao
2026-11-02 08:54:43
9
Reen agrovet 💖 :
roho za marehemu wote wapumzke Kwa amani😭
2026-11-02 07:45:49
15
SPACAL ODER :
mama
bibi
raha yamilele uwape Ee bwana🙏🙏😭
2026-11-02 06:39:26
8
MoM and Daddy :
rest well my love Mom
2026-11-02 10:38:42
1
Officialmary_255 :
raha ya milele uwape ee bwana na mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa amani BABA & MAMA & SISTER & BIBI & BABU 😭😭😭😭😭😭😭
2026-11-02 08:20:45
5
candyofficial26 :
pumzika kwa aman mama mkwe namisi sana upendo wako kwangu ulikua sio mkwe tu bali ulikua mama kwangu naumia tangu ile siku uliyoondoka dunian mpaka leo 😭😭😭😭😭
2026-11-02 10:38:18
3
🎀hakiko🎀 :
roho ya marehemu baba yangu ipumzike kwa aman
2026-11-02 05:13:15
9
master :
marhem anpig kope
2026-11-02 04:01:53
2
Frank chitanda :
mhhh marehemu naye anaimba
2026-11-02 10:19:50
1
work cha〽️pion :
wimbo una itwaje
2026-11-02 05:47:31
0
marry Asenga :
raha ya milele uwape ee bwana
2026-11-02 09:15:44
1
THE GALAXY :
Marehemu wote wapunzike kwa amani🙏
2026-11-02 07:22:50
2
mwajay cut :
mama baba bibi babu kaka wapumzike kwa amani
2026-11-02 07:30:33
1
NEY COLLECTION :
Marehemu wote wapumzike kwa amani🙏
2026-11-02 07:32:56
1
SALT :
mama Baba na ndugu zangu nipumzike kwa aman
2026-11-02 08:20:28
1
iam_panditi :
Rest well dad
2026-11-02 07:18:46
1
user5109954152054 :
jamani marehemu wote wapumzike kwa amani
2026-11-02 03:22:15
2
MY BEAULAH :
Raha ya mlele umupe. Eeeh bwana bibi yangu 😭😭😭
2026-11-02 06:12:43
1
user9948487885657 :
mtoto wang baba angu na ndugu zangu wote mwanga wa milele uwangazie mpumzike kwa amani
2026-11-02 11:25:19
0
MKHANA MWISUKHA🦋🦋🦋🦋 :
wenye tumefiwa na mama njoo tulie pamoja😭😭😭😭
2026-11-02 11:46:11
0
peragia isdol :
Raha ya milele uwape ee bwana na mwanga wamilele uwaangazie baba na mmaangu😭😭😭😭😭😭
2026-11-02 11:33:03
0
amara :
Mungu awarehem
2026-11-02 11:32:40
0
frora arex :
ee mwenyezi mungu waangazie marehemu wote mwanga wa milele
2026-11-02 11:33:57
0
To see more videos from user @nyimbokatoliki, please go to the Tikwm
homepage.