@mpendasoka_: Reaction ya refa baada ya arsenal kukosa nafasi ya kufunga goli dhidi ya Liverpool. #arsenal #liverpoolfc #arsenalfans #liverpoolfan #epl

֎ ֎ ֎
֎ ֎ ֎
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 01 November 2026 23:28:29 GMT
95540
3347
232
259

Music

Download

Comments

abdullmsonge360
Abdullahman :
mikeka hiyo [Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-03 02:50:28
0
khareem.zungwa3
Khareem Zungwa :
kamali sio nzur vijana
2026-11-02 08:48:54
126
itsgepson
NEWFORCE INTERPRICES LTD :
Aliweka itoe goli mbili😅😅😅
2026-11-02 06:20:17
75
jr.jaylife
Jr.JAYLIFE⚽💧 :
iyo Goal 1.5 Bila shaka 😁😂
2026-11-03 19:16:44
2
danielconte065
Conte de 26 :
Kachezesha na jana pia mechi ya Liverpool na arsenal huyo refa kawauwa sana liver
2026-11-02 05:04:23
26
jzythelast1
Jzy@icon☠️ :
Ukiona asenal anacheza ww muekee mazima mpak marefa wanamuekea ww nani😂
2026-11-02 15:46:33
10
officialbaommy
𝙊𝙛𝙛𝙞𝙘𝙞𝙖𝙡 𝘽𝙖𝙤𝙢𝙢𝙮 :
GG betting failed 😅😂🤣
2026-11-02 15:39:14
2
godsons66
Godson :
Hii ya kitambo hukooo
2026-11-02 07:46:17
3
aliaminiathumani
Lamini Ally ⚽⚽ :
bira shaka wakati ujao utakuja mzuri kuliko uliotoka[Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-03 17:20:21
1
digo8133
digo8+ :
sio kubet huyu refa hii mara ya pili na ya kwanza pia ilikuwa ni mechi ya arsenal yani huyu ni arsenal lialia lakini bado wanampa mechi achezeshe
2026-11-02 21:02:43
2
kee80800
Kerema ☆☆ :
refa alibet
2026-11-02 09:55:05
2
user2378683281932
Young Bad 35 :
refaaa ananoneka albet
2026-11-03 13:03:25
1
renk_rub
renk rúb :
hapo Kuna mambo hayo 🤞
2026-11-02 10:38:28
2
unju_14
UNJU14 :
😅😅😅😅😅😅 2+
2026-11-02 10:50:51
1
sammyvity1
Sam The Analyst ⚽🏀 :
refa naye anahisia
2026-11-02 14:17:40
1
danielisemsi
DANNY 📌⚔️⚔️🔥 :
michezo iyo 😂😂
2026-11-02 10:44:48
1
ramablaq22
BlaQ..🕷️ :
Referee😂
2026-11-02 11:53:40
1
ibraah3900
ibraah👑 :
😂😂😂 Refa alibet
2026-11-02 15:06:34
1
deo_drizzy1
MR KUJIPIKILISHA :
2026-11-02 13:03:05
1
user8830328218755
Samokh :
kashachana uyooo
2026-11-02 16:28:06
0
dunne554
elisantedaniely :
mbona kama namwona anord au aseno na Madrid
2026-11-02 14:29:03
1
mr.ruge3
MR RUGE :
Aliweka GG hapo Liverpool alikuwa anaongoza 1-0 ingawa ya zaman hii 😁😁
2026-11-02 14:35:19
3
salumushekhemaund
salumumaundu :
amebet uyo
2026-11-02 08:41:29
2
dicksonkitundu4
dicksonkitundu715 :
hapo goli linge fungwa ange shangilia
2026-11-02 10:48:41
1
efb_vs_dls
-huss✅️ :
anorld amerudi 😂😂😂
2026-11-02 10:59:57
1
To see more videos from user @mpendasoka_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About