ukweli usemwe Yale yalio tokea
chadema inahuska kwa kushirikiana na Tek na wana harakati lema yupo Sahihi
2026-11-02 03:27:49
57
kanik Plaster Deco 🇹🇿 🇰🇪 :
machafu yote ya October 29 mhusika wakwanza ni chadema
2026-11-02 05:26:14
12
annamarsmoses :
Ni kweli wananchi ndio sababu ni vilaza tumekaa tu tunamsubiri lisu heche lema et watupambanie sisi wenyewe tumezubaa tu
2026-11-02 06:51:46
28
Dude khamisi Dude :
Wamekubatiza Kwa ela
2026-11-02 05:53:52
22
William :
mkakati mzima wa hizi tume za mfululizo ni kutafuta njia ya kuibebesha mzigo wOOte CHADEMA
2026-11-02 13:53:09
0
Fuasa Focus 123456 :
kwa kweli pesa ni kila kitu!
2026-11-02 05:21:49
20
mazee338 :
Leo vijana wanambeza huyu Mangi ila siku si nyingi ataeleweka kwa ufasaha. Kumbukeni mlimuita nabii Lema sasa na mie Leo nawaambia huyu mtu anachokisema ni Kama unabii maana katika sifa kubwa ya Lema ni pamoja na sifa ya kuwa karibu na kila mtu wa kila kundi katika uwanja wa kisiasa.
kumbuka maneno ya mwenyekiti wako tutapita kwenye tanuri la MOTA lakini tukivumilia tutashida
2026-11-02 02:42:23
18
robert :
dar..
umeleft group bro...
2026-11-02 04:17:23
13
mariam :
kwan chadema ndo ilishawish wandamane
2026-11-02 14:29:14
1
kalvashikalvashi :
kasahau nayeye alikuwepo kuwa jaza watu upepo waandamane...kwenye hela hakuna kinacho shindikana
2026-11-02 03:38:20
5
Erick - Catalyst :
Mmmmmmh
2026-11-02 12:19:53
0
user9032761815614 :
Kweli Lema umeona mbali, tatzo Chadema IMEPOTEZA MUELEKEO MUDA MREFU, unachosema Leo kitakumbukwa baadae wakati huo utakuwa ni historia mbaya ndani ya Chadema, vijana wajenga hoja na kauli zenye UHARAKATI Zimeifikisha Chadema hapo ilipo, aikambee Godbles Lema
2026-11-02 03:20:02
6
Abduhafidhi Salum :
Uyu jamaa ni mwanasiasa na sio mwanaalakati respect sana broo lema
2026-11-02 05:03:31
7
zabmar46 :
hili ni litapeli
2026-11-02 07:12:00
7
Hadson Fanuel :
Lema,, hatakama,,Akigeuka lakini upeo wake ni mkubwa sanaaa Anajua kunusa Hatariiiii 🔥💯🤝
2026-11-02 05:31:55
8
Chonchi🇹🇿🇿🇲🇨🇩🇿🇼 :
Shikamoo siasa
2026-11-02 10:42:40
3
Aidan Rajabu :
mm binafsi nimemuelewa sana Lema
2026-11-02 05:49:39
4
Hadson Fanuel :
lema upeo wake mkubwa sanaaa,,Anajua kunusa Hatariiiii 🔥💯🤝
2026-11-02 05:36:46
5
G O P :
mambi alisema nn vile kumbe nikweli kwan mangi izitaalifa nan anampa mbona akiongea aichukui mdaa zinakua za kweli
2026-11-02 08:52:38
0
officialmubangatz :
Saivi umekomaa zaidi kisiasa watu watakuelewa zaidi hapo baadae
2026-11-02 06:40:03
4
yaoyao :
Lema sio mnafiki
2026-11-02 05:33:58
4
Emmanuel BM605 :
mjumbe auwawi asantee kwa ujumbe
2026-11-02 10:29:31
3
Njaidi Charles :
Chadema kinadema
2026-11-02 06:08:02
4
DR.GREEN :
perception,not perspective!.use noun not adjective/adverb!.
2026-11-02 12:19:16
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm
homepage.