@iycsigntv: Mkurugenzi wa chadema #tundulissu amuomba raisi samia msamaha baada ya kukaa jela kwa miaka mingi Muusika: tundu 📺 iycsigntv ✍️ iycsigntv Welcome to the iycsigntv youtube iycsigntv promotions dm and more
haya tujuane ambao hii sauti hatujawah isikia na kigugumizi hichi
2026-11-05 06:55:16
1
mama g :
mmeanza kumtengenezea saut ee
2026-11-02 03:12:04
8
Nkoko Kisucha :
Tafuteni sauti nyingine huyo sio Lisu tunayemjua
2026-11-04 20:22:29
0
Dismas Kitiro :
sihooo raisii wetuu lisu
2026-11-04 06:59:32
0
Traveler Man :
hahahaa AI yakikenya bwana
2026-11-02 15:45:00
0
papaa's pride 💕 :
hakunaa uyu sio tundu
2026-11-07 11:15:55
1
user4957144452487 :
mama same here tundra lisu
2026-11-02 19:48:56
0
Nicxiera🌺🖤 :
mh.lisu sio wa hivyo.
2026-11-02 09:35:12
0
deeseiya :
hii sio sauti LISSU acheni kutuhadaa
2026-11-03 06:45:09
2
Mchome Jr🦁 :
wanate geneza hizi mmb Ili tareh 6 siku ya hukumu waseme wamemsamehe au[Tears of joy]
2026-11-02 18:24:43
3
مدرسة شمس الضحى :
AI ni application ni faili lenye vitu vingi mfano ukiuliza jambo fulani linakujivu mfano wa mtu ukimuulia kitu anakujibu, kwa hiyo ukilielekeza kufanya picha ya kitu linafanya, wanaita Akili bandia, akili unde, akili Mnemba, kirefu cha AI ni Artificial Intelligence, Yani akili bandia ambayo inaweza kufanya kazi za kielimu zinazofanywa na binadamu, kuna mambo unalipia na mengine hulipii
2026-11-02 08:24:23
1
IT. :
This is False
2026-11-02 19:16:29
1
Maji Yamoto :
sio rahis hivyo lissu sio bao la kwanza
2026-11-04 19:57:05
0
othmani :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tunaijua hiooooo
2026-11-02 10:46:26
0
To see more videos from user @iycsigntv, please go to the Tikwm
homepage.