Alishindwa kumalizia adhana sababu mtumeuhammad s,a,w alikuw amefarik baada ya kufa mtume na yey akaham mji sas aliporud katika mji huo wakat anaadhin kilipofik kipande Cha Ash Hadi an Muhammad Rasulu Lllah akamkumbuka San mtume moyo wake ukapata huzun kubwa mpka akawa analia hivyo akashindw kumalzia adhana,Wabilah taifiq
2026-11-02 11:03:37
706
🧸naah☆.!✨️🫧🤎🦋 :
@Mrs Aga Bae💞:Alishindwa kumalizia adhana sababu mtumeuhammad s,a,w alikuw amefarik baada ya kufa mtume na yey akaham mji sas aliporud katika mji huo wakat anaadhin kilipofik kipande Cha Ash Hadi an Muhammad Rasulu Lllah akamkumbuka San mtume moyo wake ukapata huzun kubwa mpka akawa analia hivyo akashindw kumalzia adhana,Wabilah taifiq🥰🥰🥰🥰 maanshaAllah
2026-11-02 14:07:10
280
Deejah✨❤️ :
sauti nipendayo kuskia masikioni mwanangu Allah Akbar 🥰
2026-11-02 16:17:08
184
Miller ma :
tumswalie mtume
2026-11-02 14:26:39
91
Gianna❤️ :
Hivi ni mm tu nimejikuta nagota apa nasikiliz japo sielewii wanasema nn🥺AMungu atusaidie
2026-11-02 19:22:30
26
✨Ummy💫🎀 Phanihy🔐💦 :
Allah 2Jalie Mwsho Ulio Mwema 🙏🙏
2026-11-02 10:24:23
113
user3761884266287 :
Alimkumbuk Kipenz chetu Muhamad s,a,w
2026-11-02 04:52:27
65
APRILFASO APRIL 🇹🇿🇨🇻🇧🇳 :
Bilal kumbe ni muafrica nakama ni muafrica anatokea nchi gani???
2026-11-02 12:47:59
28
halimamohamed :
hii adhana ya kwanza badalaya umauti wa mtumewetu Muhammad bilali alishindwa kuendelea na adhana kwa mahaba ya mtumewetu navile sikuiyo hakuwepo huzuni ilitanda mioyoni mwaonakwetu pia Allah nimjuzi zaid
2026-11-02 12:18:52
36
zacky mpoyo🥰 :
zamn dini ya kiislamu ilikua inaheshimiwa kwa waumini angalia watu wamesimama baada ya kuskia adhana sshv mtu ata akiwa anasikiliza muziki hana muda wa kuzima mtihani wallah
2026-11-02 17:05:53
17
Mulhaty 💦💫 :
Allah akbar[Pleading][Pray][Pray]
2026-11-02 21:13:49
2
Merry :
simnaona hata mtume alivyokufa walihuzunika na kulia ila sasaiv tunaambiwa tusilie ni dhambi
2026-11-02 18:41:00
14
Ukhty Himlaty❤ :
🥺🥺🥺Nmeumia jmn natamani ningekuwepo kipnd cha mtume Mohammad
2026-11-02 13:40:41
36
Tifa :
Allah tujaalie mwisho mwema
2026-11-02 17:02:22
20
Dansajiru :
ALLAH akabr
2026-11-02 16:03:55
1
Shabani Juma :
wallah hadi nimelia dunia hii tunaend wap yarrab 2hurumie sis waj wak