If you don’t believe on miracle means u don’t believe on Jesus
2026-11-02 15:01:13
0
diva d :
Kwa Mungu Yote Yawezekana!!
2026-11-02 14:58:42
1
Director Mwanyawa :
naam ni kweli kabisaaa
2026-11-02 11:27:49
3
Genius music :
fact kabisa
2026-11-02 14:57:51
0
xoxo :
2026-11-02 15:08:11
0
rich girl 💦 :
Ni Mungu wayasiyo wezekana
2026-11-02 11:03:13
0
comrade fredy :
kuna hayaaaaa✌🏻
2026-11-02 08:57:46
0
Witson Wit James :
Kwa Mungu yote yanawezekana.
Imewahi kunitokea pia kwa vitu visivyo na uhai
2026-11-02 13:43:13
0
jane🥰🥰 :
kwenye yeremia alisema
yeye ni mungu wa wote wenye mwili
Je?kuna gumu lolote asiloliweza?
lakin pia Iman nikua na uhakika na mambo yatarajiwayo ni bayana ya mambo yasiyowezekana
2026-11-02 09:06:20
0
Afrika Sihami :
Mmmh Kamba
2026-11-02 14:09:46
0
The Bible Lens :
Hata mimi gari yangu ilisumbua, sikuiombea, bali yenyewe ile shida iliisha tangu mwezi Feb mwaka huu, hadi leo ipo sawa. Ni ngumu kuelezea ila ni kweli.
2026-11-02 06:20:51
0
Papaa Robby Official :
Mimi ninaamini Pastor
2026-11-02 09:07:37
0
Isaac Mtume Wa Kizazi Kipya :
Fact Man Of God be blessings Amen Amen Amen 🙏
2026-11-02 13:15:45
0
rugakiza goodluck :
ayo sawa ila sio kupukiza ukajaza gas jamn
2026-11-02 11:10:20
0
angelselewin :
Me sina la kusemaaa jamani Mungu atakushangazaa kwa mambo ambayo wewe utaona ya kijinga
2026-11-02 12:23:01
0
𝓨𝓪𝓴𝓲𝓷 🦅 :
🔥🔥🙌
2026-11-02 12:16:38
0
issabass7 :
Pastor@pastorsamgripper1
2026-11-02 12:52:09
0
To see more videos from user @pastorsamgripper1, please go to the Tikwm
homepage.