@sautiyakanisakatoliki1: 🪦 Leo, tarehe 2 Novemba, ni siku ya kuwakumbuka waamini wenzetu waliotangulia mbele za haki. 🕯️ WALIKUWA KAMA SISI, NASI TUTAKUWA KAMA WAO. Leo tuwakumbuke kwa upendo, tuwaombee na tusisahau kuwa siku moja nasi tutahitaji kukumbukwa katika sala. Kumbukumbu zao hazifutiki mioyoni mwetu. ❤️ 🙏 Raha ya milele uwape Ee Bwana, na mwanga wa milele uwaangazie. Wapumzike kwa amani. Amina. follow @sauti_ya_kanisa_katoliki kwa taarifa zaidi #sautiyakanisakatoliki #kanisakatoliki #tiktoktanzania #tiktokkenya
SAUTI YA KANISA KATOLIKI
Region: TZ
Monday 02 November 2026 04:31:45 GMT
Music
Download
Comments
itslinda :
Mungu awapunguzie adhabu ya kaburi aminaaaa
2026-11-02 09:05:24
3
user9268662846082 :
Wapumzike kwa Amani
2026-11-02 09:19:49
1
Sarah Ruhuta :
Raha ya milele uwape Ee Bwana na mwanga wa milele uwaangazie ndugu zetu marehemu wapumzike kwa Amani
2026-11-02 09:39:07
1
Mathias :
mungu awalaze mahala pema peponi marehemu wote ammen 🙏🙏🙏🙏
2026-11-02 08:55:21
2
marytotoli :
Roho za marehemu zipaterehema kwa Mungu zipumzike kwa amani
2026-11-02 05:52:01
4
Cecilia Peter :
roho za marehemu wote wapumzike kwa amani
2026-11-02 08:34:58
0
user1874556190931 :
raha ya milele uwape ee bwana na mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa aman. mwenyez mungu awapunguzie adhabu ya kaburi
2026-11-02 08:40:36
1
fetty olomi :
Roho za marehemu wote wapumzishwe kwaamani Amina
2026-11-02 07:30:07
1
liliwainy :
Roho za mslehemu wapate lehema wapumuzike kwa amani Amina
2026-11-02 07:21:34
1
Anipher,JJ :
🙏🙏
2026-11-02 07:18:25
1
MISSMARIA99 :
Raha yamilele uwape ebwana wapumzike kwaamani
2026-11-02 10:05:36
0
Anna godian :
wapumzke. kwa aman
2026-11-02 09:35:19
0
Msuya tailoring :
Mungu awape Pumziko la milele
2026-11-02 09:25:49
0
Nemesiana Makhanda :
Mungu mwema uwarehemu wetu roho zao zipumzike kwa Amani Amina
2026-11-02 08:39:28
0
Monics.com :
Amen
2026-11-02 08:20:37
0
jucci :
🥰
2026-11-02 09:12:11
1
cute smile :
🙏🙏🙏
2026-11-02 08:45:35
1
leah 🌹 :
🙏🙏
2026-11-02 08:09:50
1
𝑳𝒊𝒕𝒕𝒍𝒆 𝒃𝒆𝒆,•🐝~♧☆♤ :
.🙏
2026-11-02 06:54:41
1
To see more videos from user @sautiyakanisakatoliki1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.