Mimi mwenyewe NATESEKA na UCHAWI mama angu Kawa ingiza watt wangu wawili UCHAWI naumia sanaaa
2026-11-02 10:33:57
0
Jesse😘🎀 :
kabisa alafu wanajifanya wanajua sana neno la mungu
2026-11-02 07:46:59
4
nicole :
Na hao ndio wengi hatari
2026-11-02 08:40:17
3
latifah_679 :
Naomba namba ya huyo shekhee😭
2026-11-02 08:38:57
2
Rukiya ahmed :
yamenikuta😳 mimi kaka yangu amekufa na ndio kipenzi chake mimi hatuelewani mana namjua
2026-11-02 09:41:56
0
user3196613297295 :
Mimi namtaka huyo shehe jamani
2026-11-02 08:42:22
1
Mercedes maresa :
kanisani kuna wachaw sana nakumbuka kanisani kwetu walimroga jamaa akapata ajali alipoenda dar kuchukua gari ya mchungaji bandarini hawakupenda sjui aloo mauza uza aliyokutana nayo mpaka anafikisha gari katumia mil 4 zake kurekebisha gari sabu walimtegea ajali mara kadhaa aliacha ata kuja kanisani mpaka leo
2026-11-02 09:43:04
0
Clar.izee🩵✈️ :
Sasa kwann dogo hakumsaidia ndugu yake jmn🤕
2026-11-02 07:43:46
1
Fermy2 :
Next 😁😁
2026-11-02 07:40:09
3
kuhani :
yes na wanapenda katoliki
2026-11-02 10:31:31
0
Veronica :
kweli kabisa
2026-11-02 10:28:56
0
Riri :
unasema kweli kbisa ina ushahidi na ilii kweli kbsa
2026-11-02 09:17:41
0
Lilyjovna Pastory :
wanafanya ivyo ili jamii isijue kwa haraka
2026-11-02 05:27:18
0
🦋🍒Caroline ❤️ :
life💔
2026-11-02 05:34:20
0
user5972106944192 :
Next
2026-11-02 08:29:46
0
Michaeli isack :
next
2026-11-02 07:18:32
0
asmasdelights :
HIV story unatoaga wapi 😅🙌
2026-11-02 05:50:46
2
grace Charles❤️ :
kuna mama uku jilan ni mwanga kutwa yupo kanisani kwa mwamposa
2026-11-02 09:53:07
1
ninoh433 :
Sjuagi kwann wanapenda kujifanya wanaijua din vbya
2026-11-02 10:09:14
0
Furaha Aman :
hivi kwanin wachaw wanawaweka waume zao misukule? Yan mme? mhh
2026-11-02 10:09:31
0
@Ilham🦋🦋 :
Alijuaje anauvimbe sasa akat hospital awaoni kituu
2026-11-02 09:17:55
0
Deez@94 :
Wachaw wote hata wababa na kanisan
2026-11-02 08:34:33
0
xaverY_ :
Oyaaaa Na wanakuanga wanyenyekevu askwambie mtu
2026-11-02 08:26:38
0
GADAFI 😎 :
Uwage unazichapa chap chap basi 😁😁😁
2026-11-02 07:25:45
0
To see more videos from user @msouth_mastory, please go to the Tikwm
homepage.