@prophet_isaiah_mkailwa: shetani na watoto wake wanashida na jina la YESU likitajwa tu kuzimu hutukiswa wala sio sala.

Isaiah_Mkailwa
Isaiah_Mkailwa
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 02 November 2026 05:35:41 GMT
13350
351
2
9

Music

Download

Comments

jbhm_9305
BabaJ_ivan :
Sasa sisi mapepo hatuna yanini tupige makelele? Tunamwomba katika sala ya baba yetu imebeba yote
2026-11-02 13:32:02
1
wemamedics
wema medics :
sala ya babayetu aliifundisha Yesu mwenyewe
2026-11-02 08:44:47
11
sulleymankipingu
MAN SULLE💀📸 :
kila jumapili mnamfukuza shetani na anarudi 😂😂😂😂
2026-11-02 07:18:21
10
bartazar40
mr Benny🇲🇿🇹🇿 :
Na kwanini mnantaja kila siku na bado yuko apo
2026-11-02 10:55:15
2
user1184331537298
user1184331537298katumongotho :
Unamfukusa shetani wa nini.???.
2026-11-02 06:38:33
2
asmon_tunes
ASMON :
😂😂 aliewaambia pepo wabaya wanatoka kwa makelele ni nani, na unahisi Mungu hujibu kwa makelele ,,hamjatuweza bado
2026-11-02 09:04:04
4
adriano.mngulwi
Adriano Mngulwi :
sasa sijui kwann Kila siku mnamfukuza na hatoki
2026-11-02 07:55:13
5
user7229230932785
JR🇹🇿 :
ukafil nikitu kibaya sana omba sana usife kafil
2026-11-02 07:00:36
3
msigwa255
Msigwa255🇹🇿 :
labda tutofautishe kukemea na kuomba🙏
2026-11-02 13:40:22
0
godfreymautta
mautta :
sasa shetani nimtaje wa nini
2026-11-02 08:24:36
3
romjens
WAKUCHEBA :
sambona kama anaomba tu apo
2026-11-02 06:18:05
2
joycemgonela
@Lilly❤️ :
ameen
2026-11-02 09:47:59
1
jaslenehomepoint
jaslene home point :
Alafu mtofautishe kuomba na kusali
2026-11-02 12:28:26
0
yakobosimon1
yakob muhaaa :
Kuna Sala na maombi. hzo ulotaja ni Sala
2026-11-02 12:35:41
0
user1053122114602
user1053122114602 :
kwani shetani Yuko wapii 🤣😁
2026-11-02 11:16:16
0
kasangapeter
KasangaEthan :
kwani kila ibada huwa shetani anakuwepo? kila siku sheteni 😀
2026-11-02 11:13:53
0
johnjohnson519
JohnJohnson :
ameen
2026-11-02 06:22:21
0
mariamjoas
Mariam Joas :
ameena
2026-11-02 06:36:37
2
ellybl
Elias 22 :
Shetani mnamtaja mara nyingi kuliko Mungu🤦🏽‍♂️
2026-11-02 09:37:51
2
user9812011928107
magdarena bwade :
toka mmeanza kumwambia toka sahv atakuwa amefika wapi wapendwa🤣🤣🤣
2026-11-02 07:10:24
2
usearafatzumba
Araphat zumba :
we unaijuwa ruqia wewe?
2026-11-02 08:44:04
2
kapele.mzee
Kapele Mzee :
kweliii ni ujinga
2026-11-02 08:00:32
2
mtu.pori59
Mtu pori :
ukafili ni kitu kibaya sana
2026-11-02 06:37:26
1
officialbintimacha226
bintimacha :
huyu amesahau alipotoka wakati wa ibada ni ibada na wakati wa maombi ya kumkataa shetani upo unamfukuza shetani kila siku anatoka wapi
2026-11-02 12:46:22
0
addy.victor8
addy victor 🦋 :
Jumapili zote zinaisha Hamja taja sala ya baba yetu kila siku mnafokea watu 😂😂😂
2026-11-02 13:34:41
0
To see more videos from user @prophet_isaiah_mkailwa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About