within a pressure can I turn to watch this video bro sure
2026-11-04 05:35:00
1
Geey💞💋 :
ilishanikuta gas inawaka mpka mwisho haijizimi nikaibeba had njee nikafunika ndo nikatoa burner huku natetemeka balaa
2026-11-02 11:02:48
1
saua💞 :
aiseee hiyo changamoto ilinikuta,,,weee nilitoa jasho jembamba ,,,,,,,,,,
2026-11-04 10:19:00
1
mwakifwamba :
lakini siunapika kwanza
2026-11-02 07:49:46
3
Uwesu Mngoya :
je nikifungua burner huku inawaka juu itakuweje
2026-11-04 03:45:07
0
Cheetah boy 🐆小王翻译 :
niliwah kuzima gas wakati nafunga nasikia inatoa. nip usiku gheto nusu saa nzima chumba kinanuka gas sijui nifanye nn bila kuuliz google akanambia toa hiyo burner ningefia ndani😏