nilishasema siwezi kuchanga hela ya harusi 😂😂😂
yangu itahudumiwa na mume na wazazi wangu hawana basi😂😂
2026-11-02 10:54:48
2
lydialaurent7 :
Bora hata umesemaaa
2026-11-02 06:27:13
3
MTOTO WA MUNGU 🇰🇪✌🇹🇿✌🇲🇼✌ :
ukitaka kuowa jipange kivyakovyako
msiwe mnasumbuwa watu 😅😅😅nimepiga hesabu 2026 mpka sahivi nimechanga milioni tatu laki saba na tisini hata kama siitowi kwa pamoja haiomi 😂😂😂ila tunaumizana aise
2026-11-02 12:15:56
1
Dr Esther Ezekiel :
natamani niweke status lkn naogopa 😂😂😂
2026-11-02 18:25:41
0
ng'wana eliza❣️ :
me nmefunga kupokea card mwenzi wa10 mpaka mwakan tena tulime kwanza
2026-11-02 09:26:26
1
Ane Julius :
🤣🤣🤣 Yaan mimi nachoka...nachangia wenzangu tu mimi hata mpango wa harusi hauna dalili
2026-11-02 07:49:33
1
mrs Ema :
tujenge na tulime tena jmn khaaaaa🤠🤣🤣🤣
2026-11-02 08:29:22
0
🪴it's me💫🎀 :
yooooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌
2026-11-02 06:30:14
0
Magreth 💦💕 :
umejuaje watupumzishe kwakweli
2026-11-02 08:03:53
0
Husna Mayala :
kweli bhan😂😂
2026-11-02 19:13:19
0
Grace Charles :
hakuna nyumba ya laki moja msisingizie watu kuoana😂😂😂😂
2026-11-02 09:36:38
0
my love :
kweli kabix
2026-11-02 09:05:21
1
Thankyou God🤍🙏 :
Yan we acha tyy😁😁
2026-11-02 07:56:35
0
Nasma Elias :
nikweli hiyo ni biashala kabisa
2026-11-02 19:45:45
0
8888888888 :
yan hadi mtu anakuchukia kisa haujamchangia harusi yake jmn?
2026-11-02 19:35:35
0
Happy ANGETILE🧚🏼♀️ :
Kwel
2026-11-02 19:07:45
0
concessa :
leo umeongea, maana duuuuu, mtu hajawai kukusalimia akianza vikao simu kila wakati.
2026-11-02 17:14:23
0
binti mjwau :
kama mwaaka huu ndio kabisa
2026-11-02 17:10:08
0
irifanny26 :
kweli kaka
2026-11-02 19:48:29
0
fellinandez :
Bora Umeongea mwanangu Duuuuu!
2026-11-02 18:08:40
0
user2709157394289 :
mm sichang sabab cnandotoizo zakufunga
2026-11-02 20:15:00
0
8888888888 :
afu ni wajanja san na wanajua tarehe za mixhara ,
2026-11-02 19:37:05
0
Baby M :
mda huo mm siolew
2026-11-02 06:33:57
0
To see more videos from user @matabe._, please go to the Tikwm
homepage.