@pastorleahndabila: ukubwa wa kusudi ndio huamua Aina ya vita yako

Pastor Leah Ndabila
Pastor Leah Ndabila
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 02 November 2026 06:33:34 GMT
4105
360
50
32

Music

Download

Comments

user2587560593087
lydia :
Amen hky
2026-11-02 11:06:30
0
msreenmercy1
Mrs Gavin 🇨🇦 :
😭😭hya matezo yote yaani unataka kusema niko n hatima kubwa
2026-11-02 11:04:15
1
erico1343
Erico1 :
Amen
2026-11-02 10:17:49
1
yohanamussasubaid
Yohana Mussa subaida :
dada umenigusa sana
2026-11-02 10:05:35
1
user6606930914266
user6606930914266 :
lakini kunasiku nikaingia mtandaoni nikakuona wewe unaongea kwamba Kama watu wamekuacha mungu ajakuacha namm nikajikuta nanyanyuka nakuanza maombi
2026-11-02 08:01:17
2
user7710080047005
user7710080047005 :
amen and amen
2026-11-02 09:39:02
1
yvone.mwende.mutu
Yvone Mwende Mutuku :
weee
2026-11-02 09:15:36
1
user6005800602723
Cheleva Victor :
ndio, amen
2026-11-02 06:44:13
1
user5678287761165
anuarite kavira :
amen amen amen amen amen
2026-11-02 10:22:53
1
user6014237056169
rose deo :
amen amen amen amen amen amen
2026-11-02 10:04:37
1
rubbyesk
Rubbyesk :
Amen
2026-11-02 09:35:28
1
user6606930914266
user6606930914266 :
nikweli mama mtumishi mm nimetesaka sana adi mume aliniona Kama kinyesi majilani wananichukia bila sababu kunasiku nikajifungia ndani nikalia
2026-11-02 07:28:32
1
user6606930914266
user6606930914266 :
mm usiku wamanane nilikuwa nikisali vitisho mala minyau inalia mala balidi Kali linanipiga mala juu yabati mijiwe inalushwa lakini mm siogopi nishajua
2026-11-02 08:16:53
1
user6606930914266
user6606930914266 :
nakitu kingine nikawa Kila nnapo chezea simu wakuja watumishi wangu nikajiuliza Pombo imekuwa ivi namm nilikuw naangaliaga umbea l i
2026-11-02 08:05:06
1
user6606930914266
user6606930914266 :
mm mama mtumishi adi nikawa natamani nijizulu niliona Dunia imenitenda lakini nikajifunza kumtegemea mungu namuona mume alikuwa anipi ata mia mbovu
2026-11-02 07:58:28
1
user6606930914266
user6606930914266 :
Yani mm nimepingwa vita muda mlefu adi kwamganga nilienda lakini sikufanikiwa ndipo shida zikazidi lakini asaivi nimempa yesu maisha namuona mungu
2026-11-02 07:56:00
1
user6606930914266
user6606930914266 :
wananitisha Ili niache kuomba namm siache lakini wiki zamwanzo wamenitisha sana Ili niache kuomba na mm sijaacha asaivi nasali 9 siogopi ata wajeuchii
2026-11-02 08:21:16
1
user6606930914266
user6606930914266 :
nakweli mungu kanifungua toka iyo siku nimekua naamani nikajifunza kusali Kilasiku mudaote mm yesu yupo mdomoni Sasa ivi mimi namumeo wangu tupo sawa
2026-11-02 07:43:07
1
user6606930914266
user6606930914266 :
nanyoka mume wangu akamuuwa ilikuwa usiku wamanane na mm ndiopo nikajuwa kumbe miugomvi yote kumbe Adui tunaye ndani mama mtumishi mm nakuelewa
2026-11-02 07:52:36
1
user6606930914266
user6606930914266 :
nikalia sana mama mkwe wangu akaja kukaa mlangoni ananisikiliza mm nnavyo lia ndipo nikajifunza kuomba nikamwambia mungu nimechoka nifungue
2026-11-02 07:38:25
1
user6702974942316
NAJIATHI :
majalibu wakati mwingine yanakatisha tamaa labuda MunguAnatupa kushinda
2026-11-02 10:23:08
1
ramsonmaginga
Ramson Maginga :
umetisha
2026-11-02 06:50:57
1
user972606208176
user972606208176 :
Mungu akutunze mama yetu, nakupenda sana 😍
2026-11-02 06:49:27
1
dhe.danny
dhe Danny :
na kwa nn huwa ni hivo???????😳
2026-11-02 08:38:14
1
magu.mitumba.class
Magu mitumba classic ✌🏾 :
Je ni sawa kulipa kisasi?
2026-11-02 09:46:24
1
To see more videos from user @pastorleahndabila, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About