pumzika kwa aman my little sis may ur soul rest in peace
2026-11-02 09:57:05
0
user3790074113799 :
dah!!!.baba,mama,babu na bibi,mume wangu,mjomba angu ,dada angu na mwanangu.mungu awaweke malali pema sana nawakumbuka sana wapendwa wangu.nyinyi mmekuwa sababu ya mimi kuto kukutamani tena kijijini kwetu.mungu awapunguzie azabu ya kabuli nitawakumbuka siku zote
2026-11-02 10:28:56
18
merinaemmanuel :
continue resting in peace baba
2026-11-02 09:53:18
0
mom ikrath🦋 :
amen rest easy mom🥺🥺
2026-11-02 11:36:52
0
Mrs 🌹Erick🌹 :
Daaaah baba mungu ampunguzie azabu ya kaburii
2026-11-02 11:45:11
0
🎀Iam Tee🎀🌸 :
Rest easy my mom💔
2026-11-02 11:56:00
0
Sesy Andrew :
raha ya milel uwape ee bwan na mwanga wa milele uwaangazie wapunzike kwa amani [Pray]
2026-11-02 09:58:14
5
Maggie_perfumes.. :
Rest in eternal peace dad 💔😭
2026-11-02 09:12:00
1
❀𝓜𝓼_𝓙𝓾𝓵𝓲𝓮🦄 :
Mungu awalaze mahali pema peponi 🥹💔
2026-11-02 12:14:11
1
Julie_babe :
marehemu mama na bibi mungu awalaze mahal pema pepon daima nawapenda ila mungu aalijua kutuumiza jmn
2026-11-02 11:10:06
1
anastaziaprimus :
wapumzke kwa amani
2026-11-02 10:15:20
2
OfficialNipher :
wapumzike kwa amani ndugu zetu woteee mungu awape pumziko la milele
2026-11-02 10:31:48
1
user3247686174734 :
Mwanangu kipenzi
Modrick pumzika kwa Amani 😭😭😭😭😭
mama yako nakuombea kila siku ipo siku Mungu atajibu 🙏🙏🙏
2026-11-02 11:29:39
1
🌸Aiem Angellyn🦋🍭🍫 :
Ampumzshe mama angu roho yake mahala pema peponi ampunguzie adhabu ya kabul nmekums san mama angu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🏾🙏🏾
2026-11-02 09:06:58
3
mama b :
pumzikeni kwa amani baba yangu na kaka yangu
2026-11-02 09:35:34
1
deborah2007 :
pumzika kwa amani baba yangu kipenz😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-11-02 10:11:00
1
costansia :
raha ya milele umpe baba angu apumnzke kwa aman
2026-11-02 10:18:42
1
🧸Ariana cute 🫧🦋🌸 :
pumzika kwa amani baba angu 😔💔
2026-11-02 09:02:04
1
Lily 🌹🦋🦋 :
Wapumzikee kwa Amanii marehemuu woteeeeeee🕊️🕊️🙏🙏😭
2026-11-02 07:49:21
7
Baby linah🥰🥰 :
Amen
2026-11-02 08:25:45
1
AnnaLekule100 :
Amina❤️🙏🏻
2026-11-02 09:01:57
1
Totoro Manka :
wapumzike kwa aman wazazi na ndugu zangu na watoto wangu waliotangulia.
2026-11-02 09:38:19
0
nasrah :
allah ampungizie adhabu ya kaburi mymomy na marehem wote
2026-11-02 09:08:48
1
Farida :
apumzike kwa amani baba angu na kaka angu na mdg wangu na Babu zangu na bibi zangu mwanga wa milele uendelee kuwaagazia Bado nawakumbuka😭😭😭
2026-11-02 09:10:49
3
momy e 💞🧘🤦 :
pumzika kwa aman mwanangu na ndugu zangu wote😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-11-02 09:31:55
1
To see more videos from user @iamgracie612, please go to the Tikwm
homepage.