MUNGU mbariki dada[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-11-03 15:31:18
1
mariamkhamis92 :
[Perfect score][Perfect score]Duniani..
2026-11-03 01:27:28
0
asnahat :
Mungu mbadiliahe dadaangu,awe kama uyu jamani ,tuko wawili ty lakini mmmmm,
2026-11-02 10:16:06
29
Bertha John :
nataman ningekua na dada hata wmkali kama huyu jaman nikazaliwa wa kike peke angu mkubwa mm dahh
2026-11-02 08:33:35
18
Ivy Girl🌿📚❤️ :
Kalilini vizur jamani,sinza kwa remi mbele kuna mnara afu kuna nyumba nyeupe yenye geti jeusi ukiskia hvo my dear run🏃🏃♀️.Zima na cm kabisa usipatikane😂
2026-11-02 15:32:45
8
Rukia Raphael :
Mungu nipe dada kama huyu 🙏🙏
2026-11-02 09:16:33
16
Sweetie store 🥰🥰🥰 :
dada anawapenda ndugu zake jaman Mungu ambariki
2026-11-02 09:25:32
26
rehema :
uyu dadq mkubwa ni mm kabisa🤣
2026-11-02 08:38:52
7
Ma Mkwe💕💕 :
Mungu najua unanielewa vzr sana. Najua NDOA ni Nusu ya Dini lkn mwaka 2017 ulinipa mtihani wa Ndoa nikaushinda. Sitaki tena Ndoa acha nilee Watt wangu
2026-11-02 09:38:43
7
mama King 🤴 :
kwani wote huwa wanakaa karibu na sinza kwa remi?
hakuna mtu nilishawahi kusikia niko mbali usability kesho.
2026-11-03 21:26:42
0
86867272 :
huyu ndo dada angu sasa
2026-11-02 09:26:13
8
nasmah cute :
yani wanawake tunapitiya magum
2026-11-02 08:35:20
12
𝐍𝐄𝐄MA🦋 :
kwani akiachana nae kuna shida gani au yeye ndo anaona ndo mwisho wamaisha yake 🙌🙌🙌
2026-11-02 07:55:44
10
fey :
mama mama huyoooo mama mama huyooo mamy😂😂😂
2026-11-02 07:46:46
12
momo Francis :
Huyu dada mkubwa nimempenda bure anajua kuwasimamia wadogo zake
2026-11-02 11:24:02
10
Said Libonge🇹🇿 :
Kuumizwa kwenye mapenzi ni jambo la kawaida lakini kuendelea kuumia ni maamuzi yako 🤔
2026-11-02 08:34:30
6
michy.rose🛍️🤞 :
huyu ndo dada sasa
2026-11-02 10:17:31
6
Chuga girl :
wifi km wifi anatak kuuwa mtu😂😂😂
2026-11-02 08:40:16
5
zuuazuu :
kwanini sina dada jmn😭😭 daha
2026-11-02 18:34:43
0
@itszee07 :
nimekukubali dada
2026-11-03 10:42:07
1
SASHA RYAN :
huyu awe dada angu jmn nimemuwahi
2026-11-02 13:24:37
4
Daria Hashim :
wanaume mpewe nini jamani
2026-11-02 14:35:22
2
sia :
MUNGU awatunze sana hii familia
2026-11-03 15:41:43
1
To see more videos from user @barakasamson121, please go to the Tikwm
homepage.