Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@_99i.1: @infinixiraq #infinxiraq
مصطفى رحيم
Open In TikTok:
Region: IQ
Monday 02 November 2026 07:39:12 GMT
159
3
0
0
Music
Download
No Watermark .mp4 (
1.75MB
)
Watermark .mp4 (
0MB
)
Music .mp3
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @_99i.1, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
NYUMBA YABOMOLEWA KORONGONI USIKU WA MANANE ,RISASI ZATAJWA KUPOTEA WAKATI WA UBOMOAJI Wakazi waliokuwa wakiishi na kufanya shughuli zao katika nyumba moja iliypo eneo la Stendi ya Mboya katika manispaa ya Moshi wamejikuta katika sintofahamu baada ya nyumba hiyo kubomolewa usiku wa manane , huku mali mbalimbali zilizokuwamo ndani zikitolewa nje na baadhi ya wakazi wakidai kuzuiwa kuzikagua ili kubaini kama kuna vilivyopotea au kuharibika. Mwenyekiti mstaafu wa eneo hilo Salvatory Chaki amesema alishtushwa na kishindo kikubwa alichokisikia alfajiri, na alipotoka kwenda kujua kilichokuwa kinaendelea alikuta kundi la watu wakiwa na nyundo na mashoka wakibomoa nyumba hiyo. Amesema alimpigia simu mwenyekiti wa sasa ambaye alifika eneo la tukio na kuwauliza wahusika kuhusu msingi wa zoezi hilo, ambapo walieleza kuwa walikuwa na vielelezo kutoka ngazi za juu. Hata hivyo, kwa mujibu wa mwenyekiti huyo mstaafu, uongozi wa eneo hilo haukuwa na taarifa za awali kuhusu zoezi hilo, huku ubomoaji ukiendelea hadi nyumba ilipobomolewa kwa kiwango kilichoonekana wakati huo. Abdulrauf Juma Kimaro ni miongoni anatajwa kushiriki katika jenzi wa nyumba hiyo akiishi hapo tangu mwaka 2000 amekuwa akitumia eneo hilo kwa shughuli mbalimbali kwa muda mrefu na kumfahamu mtu aliyekuwa akiishi katika nyumba hiyo kwa miaka mingi, ameeleza kupoteza risasi zake pamoja na karatasi ya umiliki wa silaha wakati zoezi hilo likitekelezwa . Kutokana na hali hiyo, wakazi hao wanahitaji ufafanuzi kuhusu mamlaka zilizotekeleza ubomoaji, msingi wa kisheria wa zoezi hilo pamoja na utaratibu wa kurejeshewa na kukagua mali zao ili kubaini kilichopotea au kuharibika.
Hi
I didn't know there would be any product that would compete with my maa's homemade medicines but there you go @himalayanhoneysuppliers packed the magic in a sachet!!! #storiesbysubhana
বাচ্চার নাম রেখে তুমি যে ব্রেকআপ করলে এখন এই মা হারা বাচ্চা নিয়ে কোথায় যাবো..!🙂❤️🩹#foryou #foryoupage #bdtiktokofficial #unfrezzmyaccount #views #copylink @TikTok @TikTok Bangladesh @For You House ⍟
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy