@halal_boe: I used to be afraid of loneliness, but now I'm afraid of people.#tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬 #foryou #foryoupage

HALAL_BOE💍🕋
HALAL_BOE💍🕋
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 02 November 2026 07:43:51 GMT
26648
1730
59
134

Music

Download

Comments

didasyrhwyo
dida :
mashaallah [Heartwarming]
2026-11-02 15:20:30
0
_amour255
~~Amour 🫠✨🤍 :
tumswalie mtumie S.A.W maana ndio faraja ya mwanadamu🤲🥲
2026-11-02 10:17:30
16
mathnamuhidin
mathna muhidin :
wacha wee
2026-11-02 14:15:26
0
junaidy374
Junaidy :
Jina la qaswida please
2026-11-02 13:56:37
1
shazia8050
shazia :
nimelia sana watu wabaya sana mdogowangu yuko hoi kama anakichaa naumia sana hatuna wazaz hatuna kitu halaf nakutana na hii qaswida
2026-11-02 11:26:52
6
fatmanuru1
🥀🦋fetty🦋🦋 :
sio watu tuu ongezea na ndugu nimechoka mimi 😭😭😭
2026-11-02 12:19:31
2
lovely.girl76313
lovely girl♥️ :
same here sasahivi napenda kuwa pekee yangu tuu
2026-11-02 12:25:30
2
ommsalim29
Zulfa Ummi salim :
🤣🤣🤣mimi hapa asa hivi nawaogopa wanaume 🤣🤣🤣yani nawaogopa vibaya mno naona mtu akinitongoza ataniua 🤣🤣kifupi ananitishia maisha kabisa
2026-11-02 13:05:16
1
farida15201
Farida :
Duniani Kuna watu na viatu ndugu yangu
2026-11-02 11:15:46
3
mishimishi2410
Mrs.ally♥️♥️ :
😭walai leo nimesem na moyo wangu naogop watu na siwamin tenAa ata aje nani siwezi
2026-11-02 14:05:52
1
ashuraashwar
Ashwar😘 :
kabisa nilikuwa najua bila mpenz siwez ila huwez amin saiv mtu akinambia ananipenda kwanza namshangaa🤣🤣🤣🤣
2026-11-02 14:17:04
1
khairathajichum
mamy laty :
nawaongopa sana binadamu wamemuwaa mdogo wangu kikatilia aisha mdogo wangu naumia kila siku wamemuuwa mm naumia naongoa ata mtujama naumia choz ndio ngao yngu mm 😭😭😭😭 dah nataman nipat mweza aniliwaze akitokea pia naongop kumuamin
2026-11-02 13:16:06
1
zainabudoreen
raya bakari :
kweli brother ni bora kuwa tuu mpweke
2026-11-02 13:20:07
1
user2072541172206
latifahussein :
watu wabaya sana kipenz
2026-11-02 12:13:04
1
bichala.bichala
Bichala bichala :
nimimi kabisa
2026-11-02 12:32:59
1
hawa.shoo3
Hawa shoo :
maneno adhiim
2026-11-02 13:22:23
1
official.queen.ai
Official Queen Aisha♥️♥️ :
hii qaswida yaniliza sana😭
2026-11-02 09:33:53
2
akmal.ahmeid.sahi
Akmal ahmeid Sahimu :
tusiache kumuomb mungu ataksaidia ishaallah
2026-11-02 10:31:27
1
mrs.h602
🥰 :
Bora upweke kuliko binadamu ndug yang
2026-11-02 13:14:18
1
sumayyahmo
🎀suuh🧕💙💜 :
kwel ten 🥹
2026-11-02 10:24:58
1
dahuz80
da huzayma :
ndugu ndugu ndugu🥺
2026-11-02 15:04:39
0
nuratkaywanga
Mama Mkenya :
Hakika tuliwaamin wametungusha vibaya
2026-11-02 14:17:43
0
user6998006130173
S 2kizzy🇹🇿 :
hakika watu wakuaamin hat punje☺️
2026-11-02 10:05:16
1
ss..mukri
SS. MUKRI :
Kwa kweli Truest
2026-11-02 12:01:09
1
fatumaally5418
fatimah 🧸 :
am the first
2026-11-02 07:51:21
1
To see more videos from user @halal_boe, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About