@macom.wellness: Replying to @N🤍 #punguzamwili #punguzauzito #mitinamatundanidawa #macomwellness

Macom Wellness
Macom Wellness
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 02 November 2026 07:45:13 GMT
223538
4805
187
245

Music

Download

Comments

rahma.ramadhan88
Rahma Ramadhan :
mbona haulekezi watu sasa tutafune na mchele
2026-11-11 20:49:00
4
d.a.k.123
Brother Dennis🤍💙 :
mbona mm hainisaidii???
2026-11-02 08:26:50
2
user5620393032041
Jusy❤️✌️ :
Mbona mimi natumiya me sipuguwi nifanyeje
2026-11-02 08:53:12
16
mama.lee086
mama lee :
mimi naomba maelezo vizuri maana natumia naloweka saa 24 lakini hamna kitu tumbo bado limetepeta
2026-11-02 09:46:58
12
jescamartine8
Cherry🍒❤️ :
me labda nikanunue chenga ndipo nifanye kaz hii ila mchele wangu super hapana kwa kwel
2026-11-12 16:48:42
5
gmomy26
Smesha_actress🦋❤ :
mimi uzaziiii wa mpango umenipenda nimekhwa abuju buju nifanyaj jmn huu mwili mm siutak kabsaa jamn🥺
2026-11-02 20:29:43
4
mom_colman
DEAR ME💙 :
mbona me nakunywa nna week sharishiii na matokeo sioniii
2026-11-09 14:59:39
2
wahidadaudi
wahidadaudi :
vipi unatumia Michele wowote amaaa
2026-11-12 06:08:02
0
kikyajr
Anny outfit :
Ndio maana nimeharisha kumbe nilikunywa aya maji had najiuliza nimekula nin
2026-11-10 18:07:06
1
drugo242
ami :
jamn leo naanza
2026-11-02 07:51:07
2
jescah.mwela
Jescah Mwela :
mimi nltumia ila skupungua
2026-11-12 13:40:15
0
rehema0999
Rehema :
nmekunywa hiyo amna ata kualisha
2026-11-12 08:52:35
0
judee7795
🦋Judee🌸🦋 :
Mimi niko tayari kuharisha naomba maelekezo plsss
2026-11-08 18:39:53
1
zoudat.juma1
ZOudat Oman Business 💯🥰❤️ :
Unaisaga Jmn au unakunywa iv iv em tupeni matumizi yake
2026-11-11 18:33:18
0
ummyrumaysa3
ummy rumaysa :
nikikosa limau naweza kutumia ndimu mana huku kwetu limao hamna
2026-11-02 15:39:13
4
user754480099301
user754480099301 :
jamani nyashi haipunguwii kweliiii
2026-11-02 07:47:43
5
user3849188148740kimdory
kim,luuh :
jaman samahan kwani unatumia maji yake tuu au unatafuna na mchele
2026-11-04 13:13:56
0
beatrice.japhet6
BEATRICE JAPHET :
Mungu alikuwa namakudud yake kuweka mtu mnene mwembamba mfupi mrefu mnataka wote tuwe wembaba ili iweje bac tuleteen na dawa za kuwa warefu
2026-11-02 14:12:32
1
user7881027993571
KIM FETTY oG :
niongo nilitumia cjaambulia kity
2026-11-02 09:57:30
3
user1461882416142fafa
user1461882416142fafa francine :
ukiwa unanyonyesha nisaw?
2026-11-02 09:26:09
3
tfaa381
tfaa🥰🥰🥰 :
m nataka la tumbo ty so mwili mzima
2026-11-08 16:27:50
0
mr.danzoo1
Mr.danzoo👑 :
mbona sipungui wala siharish jmn
2026-11-02 09:46:40
3
didaa.love
Didaa love smart##🇰🇪🇸🇦 :
waeza tumia limau lamaji alafu wauroeka kwamji siku mzima ama
2026-11-11 22:25:55
1
mariamsaidi715
Mariam Saidi :
kwaiyo nahuo mchele nautafuna
2026-11-09 06:50:35
1
userchimamy837
𝚕𝚒𝚣𝚣𝚢 Creates✨jeuc32🌹🌹 :
kama unamimba je
2026-11-02 10:05:40
1
To see more videos from user @macom.wellness, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About