@chaka6101: *UMOJA WA MATAIFA* Kuna watu *Billion 7.8* kwenye sayari ya dunia. Ripoti inaonyesha; *Wanawake = Billion 5.6* *Wanaume = Billion 2.2* Kwa hiyo, waliwashauri wanawake kuwa waangalifu katika kuonyesha tabia kwa mwanaume yeyote kwa sababu kati ya wanaume *Billion 2.2*: - Billion 1 tayari wameoa. - Million 30 wako gerezani. - Million 70 wana matatizo ya akili. Hiyo inamaanisha kwamba tuna takriban *Billion 1* tu ya wanaume ambao wapo tayari kwa ndoa na kati ya hiyo *Billion 1*: - 50% hawana kazi - 3% ni mashoga - 5% ni Mapadri wa Katoliki - 10% ni ndugu zako - 35% wana zaidi ya miaka 66 Kwa hiyo, mabibi wote walioolewa na wale ambao hamjaolewa, ni lazima *mfikirie upya* kabla ya kumtendea mwanaume yeyote kama takataka.