@elimunibahari: Muhogo wa jang'ombe sehemu ya 2.Uchambuzi unaendelea...#fypシ #kiswahili #swahili #eastafricatiktokers🇹🇿🇺🇬🇰🇪 #zanzibar🇹🇿

elimu.bahari
elimu.bahari
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 02 November 2026 07:59:35 GMT
15175
649
17
13

Music

Download

Comments

oroko7
oroko :
harakisha
2026-11-02 09:45:33
1
rkbashari
keibii :
Kaka, Yaliopita si NDWELE hii NDWELE ni nini next video plz 🙏
2026-11-02 13:48:11
1
bwana_peter
Bw Peter :
Leo umeamua utuzungushe kabisa. nasubiri sana kuuelewa. ikumbukwe pia Jay dee aliuomba pia miaka ya 2000
2026-11-02 20:01:21
1
urumbi6
king D :
yaan wew sisi tunataka tujue huo muhogo ni nin
2026-11-02 09:15:12
1
kondekazungu385gmail.com
Son of the North :
siti binti saad alikua nguli pia ila namkumbukua kwa wimbo wa ya laiti ulioimwa na Marehemu Bi malika.
2026-11-03 04:05:55
1
emmanuelzao
Emmanuel Zao :
2026-11-02 08:58:07
1
gideonmugusi1
Gideon Mugusi :
Tutakusubiria tu hadi utuambie habari ya huu muhogo wa Jang'ombe. Tutabanana na wewe hadi kieleweke.
2026-11-02 20:28:59
1
frankard
Frankard :
Unaongea sana bila mada au maudhui. Tunagoja maana
2026-11-02 19:44:51
1
waiyooo4
Habib Gaks :
ata ukirefusha mpaka zifike part kumi,niko na ww tu,juu sina kazi yakufanya.
2026-11-02 08:57:21
1
To see more videos from user @elimunibahari, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About