@millardayo_: Watu tisa wameripotiwa kufariki dunia baada ya ndege ndogo aina ya Learjet 60 kuanguka katika eneo la Makazi karibu na Cresthaven, Kaunti ya Palm Beach, Jimbo la Florida Nchini Marekani. Kwa mujibu wa taarifa ya Waziri wa Uchukuzi wa Marekani, Sean Duffy, kupitia mtandao wa X, ajali hiyo ilitokea majira ya saa 12 mchana kwa saa za Marekani, huku Watu wote tisa waliokuwa ndani ya ndege hiyo wakidaiwa kupoteza maisha. Taarifa hiyo inaeleza kuwa ndege hiyo ilikuwa imetokea Austin, Texas, ikielekea Bahamas kabla ya kupata ajali hiyo. Aidha, taarifa hiyo inasema Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Marekani (FAA) imetuma timu eneo la tukio kusaidia uchunguzi unaofanywa na Bodi ya Taifa ya Usalama wa Usafiri (NTSB), huku Duffy akitoa pole kwa Familia na Ndugu wa waliopoteza maisha. #MillardAyoUPDATES
millardayo
Region: TZ
Monday 02 November 2026 08:06:34 GMT
Music
Download
Comments
Estrellita ✨️ :
Kwahyo saiv hakutakua na namba 9 tukitoka 8 ni 10🤔😅
2026-11-02 08:20:02
282
@faah🗯💫😊 :
vipi kuhusu hivi vindeg vya Tanzania jamn😅😅😅 si tutakuf nchi nzima jamn
2026-11-02 08:49:49
55
𝐅𝐄𝐈𝐒𝐀𝐋📯 :
Sio lile boom la Tz tulilorusha 😁
2026-11-03 20:08:07
22
~Sia🌸💦 :
Mazishi ya 9 mbona hujasema?
2026-11-02 10:52:15
63
Angel Dunia :
Nimesoma nae 9 jamani 🥹😭
2026-11-02 12:00:18
22
🌸I'm Sharifa🩷 :
bad sijaelewa ajitokeze mtu anieleweshe tafadhali
2026-11-02 08:51:59
20
ninoh🦋midekoh🦋🌸💍💍👑 :
kwani 9 ni nani jamn😳
2026-11-03 18:00:44
5
Shahally :
R I P 9 tutakukumbuka sana
2026-11-03 09:48:48
15
lyrics vibes🧸 :
gudubai 9 tulikupenda sana lakini jet imekupenda zaidi
2026-11-04 08:49:07
8
miss🪖🪖🍀☘️ :
sasq kam ya marekan imedondoka za hizi za Tanzania itakuaj🤣
2026-11-02 08:26:01
9
ᥫ᭡.𝓐𝓵𝓶𝓪🤎🥥 :
Mm tu nasubir tukutane kweny comment😂
2026-11-04 05:16:58
5
Rexy Francis255 :
fataki za tanzania zilizorushwa zimekosea njia
2026-11-22 19:11:25
1
Tune🎧 Darmian :
sasa ulitaka iue wangapi
2026-11-03 19:31:41
4
Janelly :
Bwana ametoa na bwana ametwaaa jina la bwana libarikiwe 🙏🏿 😁😁😁
2026-11-04 15:04:14
0
Rammy kim💜 :
Ao elnino imehamia marekani
2026-11-02 12:05:55
1
🈳Ҝ|ᗪ ᘜㄖ卂ㄒ🐐🤟 :
itakua niiile ya tanzania nn
2026-11-04 04:11:43
1
Ivan24 :
uyo 9 ni mtu au nan jamn
2026-11-04 18:37:57
1
prince Willy :
ije iangukie mausiano yangu
2026-11-04 06:09:16
1
🦋..bless.❤️🔥..🦋 :
Kwan 10 anasemaje😁😁
2026-11-03 17:58:30
1
bohora bakar✨👃 :
hili sio lile ta tanzania
2026-11-04 06:18:03
1
Cur_poppah🫧🦋 :
maskini 9 wa watu
2026-11-03 19:59:07
2
Sandy_lee🌍🪼 :
R.I.P 9💔
2026-11-02 11:23:28
3
it's Top G🤑💫 :
imeanguka au imedondoka millard kiswahili ulipata ngapi
2026-11-03 15:53:22
3
Sabrah abdallah :
private jet ndo nn msinicheke
2026-11-03 19:17:06
1
💜PRECIOUS 💦 :
Kwhyo octob hkun😁
2026-11-02 13:51:36
0
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.