@bingwawamagariused: ๐จ TAHADHARI KWA WATANZANIA WOTE! Kutokana na kuongezeka kwa matapeli wanaotumia jina la BINGWA WA MAGARI USED, nimeamua kuwaonyesha ofisi zetu ili kila mmoja ajue sehemu sahihi ya kupata huduma zetu. ๐ OFISI ZETU ZIPO MAGOMENI, DAR ES SALAAM. Kila kitu kuanzia mabango, mazingira ya ofisi mpaka utambulisho wetu kinasomeka BINGWA WA MAGARI USED. Tafadhali msikubali kutuma pesa kwa mtu yeyote anayetumia jina letu bila kujiridhisha. Hakikisha unawasiliana na ofisi kupitia njia zetu rasmi kabla ya kufanya malipo. PESA YAKO INA THAMANI, USIKUBALI KUTAPELIWA! BINGWA WA MAGARI USED ๐น๐ฟ Bingwa ni mmoja tu Tanzania nzima! namba za simu Call: 0711398600 Call: 0765708039
BINGWA WA MAGARI USED
Region: TZ
Monday 02 November 2026 08:17:16 GMT
Music
Download
Comments
๐ง๐ฟ๐ฎ๐๐ฒ๐น( ๐ง๐น๐จ๐๐๐ผ๐ป) :
๐ธ๐ฎ๐ธ๐ฎ ๐ท๐๐ฎ ๐ธ๐ฎ๐น๐ถ ๐ต๐ฎ๐ฝ๐ผ ๐๐ต๐ผ๐๐ฟ๐ผ๐ผ๐บ ๐๐ฒ๐ป๐ด๐ฒ๐ป๐ฒ๐๐ฒ๐ฎ๐ฎ ๐๐ฒ๐ต๐ฒ๐บ๐ ๐ป๐๐๐ฟ๐ถ ๐บ๐ฎ๐ด๐ฎ๐ฟ๐ถ๐ถ ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ๐ฒ๐ฒ ๐๐ฒ๐ต๐ฒ๐บ๐ ๐ป๐๐๐ฟ๐ถ ๐บ๐ฏ๐ผ๐ป๐ฎ ๐๐ฒ๐๐ฒ ๐๐ป๐ฎ๐ธ๐ฎ๐ฎ ๐๐ฒ๐ต๐ฒ๐บ๐ ๐ป๐๐๐ฟ๐ถ ๐๐ฒ๐ธ๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ด๐ฎ๐ฟ๐ถ๐ถ ๐๐ฒ๐๐ ๐๐ฒ๐ต๐ฒ๐บ๐ ๐ป๐๐๐ฟ๐ถ ๐๐ฎ๐ธ๐ถ๐ฝ๐ถ๐ด๐๐ฎ ๐ท๐๐ฎ ๐บ๐ถ๐ฒ๐ 3 ๐๐ฎ๐๐ฎ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ธ๐ฎ๐ฎ ๐ฏ๐ผ๐๐ ๐๐ฎ๐ป๐ด๐๐๐
2026-11-07 14:25:08
9
Jimmynine The Boss Official :
ofs nyingne iko wp
2026-11-02 09:06:23
7
Dixon :
Kwahiyo hata anayeosha magari na yy ni Tajiri!
2026-11-03 08:12:50
4
David electrician :
sikuwah kujua kama mpo hapo lakin katika tembea tembea yang nikakutana na bango kubwa la BINGWA WA MAGARI USED ... dah nilifurah sana
2026-11-02 10:34:39
8
josephsteven691 :
ipo siku nitakuja ofsin kwako amin hivo nataman sana
2026-11-02 10:31:03
5
#sosoli jr :
mbn hata hii Haina blue tick [Teary eyed]
2026-11-02 10:26:22
2
cypilianjunior :
tajili naomba Gali 4000000 napata tajili
2026-11-06 15:11:18
3
Tech Mirabile | Solar :
Iyo VW Transporter bei gani bingwa
2026-11-02 09:21:50
2
ignas Thomas :
supper custom inapatikana na iko kwa bei gani tajiri??
2026-11-14 10:31:23
1
AYOUB A.BIZO :
Mie apo. Nmeona atenza t iyo mazda
2026-11-02 14:30:28
3
Dยฃยฃ :
anh kaka bingwa iyo subaru nyekundu hapo ndani mpk leo ipo ๐
2026-11-14 00:20:20
1
disho og :
kwanin msiuze g wagon used
2026-11-17 08:51:58
1
Official mushizoo :
nikihitaji coster napata
2026-11-17 11:44:55
1
Power :
Kwenye ramani ipi mdogo wangu au ya nyumba
2026-11-26 03:00:07
0
PRINCE :
wanachofanya wajivuni waongo waongo ni kitu kibaya sana
2026-11-02 08:51:48
0
MICHAEL JOHN :
hiya fotuna EJR sh ngap Bingwa
2026-11-02 10:06:31
2
said shaban915 :
sijaona proibox
2026-11-23 08:18:13
0
dulla :
Bwana harusi
2026-11-02 15:08:37
1
ANUNDA GEOFFREY :
HUYU NDO PATRICK THE GREATEST WA TZ
2026-11-17 17:23:03
0
flowers World Tz :
hamna ujivuni
2026-11-28 19:36:08
0
.......โจ๏ธ :
2026-11-24 08:40:39
0
tifffa :
uhakika tajirii
2026-11-23 16:13:35
0
DROPSHIPPING :
bingwa nawez kufnya ht ya kusafisha gar boss y
2026-11-20 15:40:34
0
Dk Joseph :
Crown bei gan
2026-11-20 09:16:07
0
msamaria :
tajiri nimeona hiace apo
2026-11-02 09:12:48
0
To see more videos from user @bingwawamagariused, please go to the Tikwm
homepage.
ยฉ 2021-2026 TikWM. All rights reserved.