@nyota.shinetv: Happy Anniversary my babe girl Theodora Ipyana Bwana YESU aliyetuletea hapa atatupeleka kule alikotuonyesha kwa NEEMA Yake tu. UJUMBE WETU NI HUU // INAWEZEKANA Kama Mungu ni Nguvu kuu NDOA NDOA ni moja ya MLIMA WA USHAWISHI KATIKA UFAALME wa Mungu usikubali kuchukulia POA sisi ambao tuko ndani na wale ambao wanamngojea BWANA kuingia. Natangaza kwa Jina la YESU Mungu akupe NEEMA na MAOMBI ya kuendelea kuatamia kile Mungu amekuonesha kuhusu NDOA na UHARIBIFU IS NOT YOUR PORTION IN JESUS NAME Kwa Mungu INAWEZEKANA kujitunza mpaka NDOA, SEX BEFORE MARRIAGE NI DHAMBI. Kukaa kwa huyo ndugu bila baraka ya Mungu kutoka madhabahuni ni DHAMBI na unapanda LAANA za UKOO na Familia ambazo baadaye zitakutesa wewe na watoto wako KATAA kwa Jina la YESU UNGETAMANI KUACHA MAISHA YA DHAMBI, UASHERATI(tendo la NDOA kabla ya NDOA) UZINZI(kulala na mume/mke wa Mtu) na umeshindwa kuacha KARIBU INBOX na Tunaweza kuomba UMPE BWANA YESU MAISHA YAKO na UKOMBOZI WA NAFSI NA MWILI UENDELEEE Tunaku penda na tunakufurahia. Ameandika 🇹🇿Dr Ipyana #tiktokviral #viral #tiktoknews #tiktoktanzania

Nyota Shine Every Where
Nyota Shine Every Where
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 02 November 2026 08:19:43 GMT
17950
652
15
16

Music

Download

Comments

adella.michael24
Adella michael :
kama mimi nabarikiwa nawe mtumishi wa mungu
2026-11-02 09:08:20
3
mariamlusawi
GRACIOUS OF GOD :
Nuru yenu na iangaze kwa mataifa yote
2026-11-02 17:24:30
0
jesca.mwile
mom&G🥰🥰 :
hongeren sana San sio rahis kbsaa
2026-11-02 16:40:35
0
a2.golden
A2 golden :
kaka edwini nakuona mungu akupe maisha malefu uishi ukipendeza mungu
2026-11-02 09:03:06
0
user40638162463
user40638162463 :
safiii Mungu awatunze
2026-11-02 14:47:36
0
estherisaack7
Esther Isaack :
Hongereni sana Mungu atukuzwe kwaajili yenu kaka na azidi kuwatumia kadiri apendavyo kupitia muunganio (agano) huu muwe sababu ya wengine kuvuka
2026-11-02 12:59:08
0
key_vijora_dodoma
key_vijora_dodoma :
hongeleni
2026-11-02 10:39:18
0
gladnessanase329
Gladness Kimei :
Mungu awatunze Ili waendelee kumtumikia Mungu🥰🥰🥰
2026-11-02 08:24:48
0
user3429881800769
529951 :
Hongeren sana
2026-11-02 11:29:15
0
jonijo2920
jonijo :
hongereni
2026-11-02 11:31:20
0
mtotwamamdtzd
lastborn🧚🧚🥰 :
mungu aendelee kuwa tunza mkawe nuru kwa wengine wajao
2026-11-02 14:21:12
0
user85605390876000
0744704959 :
woyoooooooiiii
2026-11-02 12:53:01
0
user9205573050736
user9205573050736 :
jaman walioana mwaka gn mbna km 2023 walikuwa kcmc nikajua ndoa badooo[Laugh approved]
2026-11-02 13:53:16
0
groryomela
groly omela :
🙏🥰
2026-11-02 10:45:44
0
To see more videos from user @nyota.shinetv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About