Hadithi hiyo ni Maudhui hamna acheni kumsingizia mtume ,,,,,,Basi mm tammpa mtoto wangu jina la muhammad Kwa Nia hiyo kisha niache kufanya mema ,,,,,,tuacheni kumzulia mtume tumuogopeni ALLAH
2026-11-02 10:19:56
3
Hudheifa Hassan :
swadaqta mufty
2026-11-02 10:01:18
0
mufty :
sheikh naomba kujua tangu ulipoanza da'awa kwa ajili ya dini ya Allah kwa kufuata sunna ya mtume mohammad (saw) umesilimisha wangapi ili ibainike kuwa sunna hii imetimia upande wako
2026-11-02 08:34:07
1
Mussa Mohamed177 :
mashaa Allaah, ustaadh usichokee,, waslimishe wallah ajira yako iko mbele ya Allaah