@millardayo_: Mfanyabiashara kutoka Nchini China na Mwanzilishi wa kampuni ya ZXMoto, Zhang Xue, ameweka historia katika kitabu cha rekodi za dunia cha Guinness baada ya kufanikiwa kuendesha pikipiki umbali wa kilomita 40.74 juu ya maji katika Mkoa wa Hunan Nchini China. Zhang amefanya zoezi hilo kwa kutumia pikipiki maalumu aina ya MX450 iliyofanyiwa marekebisho ya kipekee ili iweze kusafiri juu ya uso wa maji badala ya barabara kama ilivyo kwa pikipiki za kawaida. Kupitia jaribio hilo, Zhang amevunja rekodi ya awali ya kilomita 31.8 iliyokuwa imewekwa na Mtu mwingine, na kuweka rekodi mpya ya kilomita 40.74, hatua inayodhihirisha ubunifu na uwezo wa teknolojia katika kupanua matumizi ya vyombo vya usafiri #MillardAyoUPDATES
millardayo
Region: TZ
Monday 02 November 2026 08:25:33 GMT
Music
Download
Comments
𝐅𝐄𝐈𝐒𝐀𝐋📯 :
Aje apite juu ya deni letu la taifa 😁basi
2026-11-02 08:40:15
285
mr_omni_tz :
Mmmh msikute ni pikipiki ya Yesu😳😳😳😳
2026-11-02 09:44:39
162
peaceforlife 😉... :
Jamani yule msoma comment wetu za millardAyo yuko wapi nmeimiss sauti yake 😁😁…mmoja amtag basi 😂😂…
2026-11-02 09:03:03
89
dragon_boe👑🔥 :
safari za kwenda Zanzibar itakuwa tunazibonda tu😂🤣
2026-11-02 10:36:57
16
Adella Nzijilo :
😂😂😂Nipo njiani naenda kujalibu kwenye bwawa la mtela dodoma simtakuja kuniokoa lakin😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-11-02 08:29:06
50
Naah♓ :
mara Paa mafuta yameisha 😂😂😂
2026-11-02 09:13:50
41
Lucy Chriss🔐😍 :
Nabiii Mussa anasifa akionaga majii[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-02 11:23:12
0
kayamba seth :
huyu nae anamchokoza Elon max
2026-11-02 09:29:14
0
ummybaby02 :
Mmmh plz usijaribuu[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-02 11:46:21
1
AGM mining🇹🇿 :
Sasa hiyo helmet kavaa ya nini?
2026-11-02 10:11:23
15
SAMBEKE MWENYEWE :
Me nasubiria Mr Omni Aje Atusomee comment 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-02 09:12:20
12
£ddy ⚠️ :
Fichen mwalim wa phisics asiione maana kwa sio kwakututambia huko
2026-11-02 08:29:55
28
ObbyDzo :
Record zote za majini zitavunjwa ila ya Yesu kutembea juu ya maji itabaki milele
2026-11-02 09:19:09
11
girl :
Kuna mtu kasema yesu kaamua kuja na boda boda 🤣🤣🤣
2026-11-02 08:50:24
21
mack20161 :
kwani amepigaje apooo na me nikajaribu pale coco beach🤣🤣
2026-11-02 08:36:19
11
Headmaster Dih :
kumbe sio yesu tyu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-02 08:53:24
1
kingboi :
Pikipiki za elnino ndo hizo sasa
2026-11-02 09:11:34
5
❤️Nazmina🦋🦋 :
Yesu kamua kuja na boda boda
2026-11-02 08:46:10
7
꧁ঔৣ PÜRËHËÄRTঔৣ꧂ :
Sasa Yesu kaja na boda tutatisha kweli🤔 au ataanza na mimi wengine mtafatia😂😂🤭
2026-11-02 09:03:56
6
🦋 :
Elnino ikiwa serious ntajaribu
2026-11-02 09:18:37
5
Fides💜💜 :
izi habari millad uwa unazitoaga wapi
2026-11-02 09:16:49
5
ℹ️~Ⓜ️🅰️N :
iyo ata bongo tunaweza walet nyengine 😁
2026-11-02 08:53:44
5
Pharm Rozee :
Ailete Tanzania nisafiri zangu kila siku kwa boda juu ya maji… navuka mipaka bila passport wala Visa bila kukamatwa😆😆
2026-11-02 11:26:05
0
mimihunijui :
Bort aje apa anmbie zanzbar shngap niendezngu mie
2026-11-02 10:48:09
0
dolvettveGa⛎ :
aliwezaga yesa nobody else
2026-11-02 10:10:08
3
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.