@lydia.health: USIPUUZE CHANGAMOTO YA PID! PID ni changamoto inayohusisha maambukizi kwenye mfumo wa uzazi wa mwanamke. Inaweza kusababisha maumivu ya chini ya tumbo, maumivu wakati wa tendo la ndoa, uchafu usio wa kawaida na homa. Usipuuze dalili unazoziona. Tafuta uchunguzi na matibabu sahihi mapema ili kuepuka madhara ya muda mrefu. AFYA YAKO NI THAMANI!

madam Lydia
madam Lydia
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 02 November 2026 08:45:58 GMT
627
11
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @lydia.health, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About