Kila kitu kinamadhara hata ukila Milo 3 Kuna madhara
2026-11-02 09:51:18
5
Mtu Pela comedy :
uwo utumwa wa toto wa wenzetu wna tablet na computer wanafanya vizuri et sisi tusiwape bado amja nishauri. kila kitu kipo kwenye cm ukimnyima cm maana yake anakuwa si mjuzi wa Mambo
2026-11-02 11:09:46
3
Radio Imani :
hayo maneno ya ccm hayana maana
2026-11-02 11:45:02
1
BohariMusic :
Sure ni kweli
2026-11-02 11:32:55
1
IbbuTZ :
China hao watoto nao wanatengeneza simu 😁
2026-11-02 13:10:10
1
Mr mwakaniki :
M utajapopata uthibitisho tuambie mkuu
maana duuh
2026-11-02 09:14:26
1
husein tall. :
poinf snaa unaongea ni kweli kbsa
2026-11-02 22:27:31
0
user6600096394400 :
wakwangu ana miaka 13 hajui kupokea sm Wala kupiga ndio nataka nimwelekeze sasa
2026-11-02 15:15:43
0
Ajia :
Uwiii
2026-11-02 20:28:05
0
Caramprint :
kwa waafrica[Tears of joy] sio
2026-11-02 19:57:41
0
Allan Shirima :
mnaona sim tu hamuon TV za sasa,balbu za umeme nk
2026-11-02 19:10:47
0
Micky michael :
Kaka mm nataka hicho kitabu
2026-11-02 14:55:42
0
user5611269183728 :
simu ni hatari ata mtu mzima Bado ni hatari
2026-11-02 14:31:17
0
rahmat malale :
Ata saiv nalilia cm, nimemkatalia
2026-11-02 14:11:47
0
Mwajuma Kitumba :
saa itakuwaje bila hiyo cm chakula hakiliki😂😂😂
2026-11-02 18:42:55
0
user4666622019513 :
nikweli kabisa
2026-11-02 18:57:09
0
charlesmadata :
waliotengebeza vipi huko ulaya
2026-11-02 14:01:00
0
D #### :
bado kidogo nahic tumelala na tutazid kulala ila vip China huko
2026-11-02 12:08:06
0
Munira 05 :
Hatar
2026-11-02 12:16:50
0
sharifa :
😂😂😂😂 nikweli
2026-11-02 13:14:49
0
sharifa :
mtoto Hali chakula mpaka simu
2026-11-02 13:15:28
0
Agnes Mlangida :
Jamani
2026-11-02 12:59:55
0
%MooAmoo% :
n wakiqfirika au n wote
2026-11-02 14:19:40
0
babymama :
jamaaaniiii 🤣🤣
2026-11-02 09:22:05
0
To see more videos from user @grandprofessor4, please go to the Tikwm
homepage.