@faris.buruhani: *WANANCHI WAFUNGA BARABARA KUMSIMAMISHA KATIBU MKUU UVCCM* Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa, Faris Buruhani, amesimamishwa na umati mkubwa wa wananchi waliokuwa wamekusanyika barabarani alipokuwa akielekea katika Dua ya Shukrani iliyofanyika Katoro, mkoani Kagera. Aidha, amesisitiza dhamira ya kusikiliza na kufanyia kazi changamoto zinazowakabili wajasiriamali na waendesha pikipiki (bodaboda), huku akiwahimiza wananchi kuendelea kushirikiana katika kuleta maendeleo, kudumisha amani na utulivu nchini.@ikulumawasiliano @CDE MZALENDO MFIACCM @Mohammed Kawaida @Ashirafu ayubu Ashirafuayubu #fyp #tiktokrwanda🇷🇼 #tiktokkenya🇰🇪 #