@cawabemedia_: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemtaka Mkuu wa Mkoa mteule wa Tabora, Angelina Mabula, kuhakikisha fedha za Serikali zinazotolewa kwa ajili ya miradi ya maendeleo zinatumika kwa malengo yaliyokusudiwa na kuwanufaisha wananchi. Rais Samia ametoa maelekezo hayo leo, Novemba 2, 2026, wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule iliyofanyika Ikulu ya Chamwino, Dodoma, ambapo pia amempongeza Mabula kwa safari yake ya uongozi katika nyadhifa mbalimbali za Serikali. Amesema uzoefu wa Mabula alioupata akiwa Mkuu wa Wilaya, Naibu Waziri, Waziri na Mbunge unampa uelewa mpana kuhusu majukumu ya Serikali, taratibu za ugawaji wa fedha pamoja na mahitaji ya wananchi. Aidha, Rais Samia amemtaka kushirikiana na viongozi pamoja na watumishi wa umma atakaowakuta mkoani Tabora ili kusimamia matumizi sahihi ya rasilimali za Serikali na kuhakikisha miradi ya maendeleo inaleta matokeo chanya kwa wananchi.
cawabemedia
Region: TZ
Monday 02 November 2026 09:38:50 GMT
Music
Download
Comments
james christopher :
hongera mabula
2026-11-02 10:44:28
0
user3523604900623 :
nampenda sana huyu mama, ni mchapa kazi ni ujasilo. hongera mama msukuma
2026-11-02 11:48:37
1
1414 :
anjelina wewe ni mtu wa watu mama, hongera sana
2026-11-02 11:09:03
2
Elizabeth Manyero :
❤️❤️❤️mtu bora sana huyu mama nampenda
2026-11-02 12:07:39
1
Damwa :
Hivi hakuna waTanzania wengine wenye uwezo kila siku hao hao???🥺🥺🥺
2026-11-02 12:02:53
1
Rozena :
Asante Mama samia nichague na mimi hata Diwani viti maalumu.nakupenda saana
2026-11-02 11:10:11
1
aunt :
Angelina yuko super sana
2026-11-02 12:00:50
1
Mama lishe wakishua :
mama unaupendo sana
2026-11-02 10:40:13
2
Ibra Shinja Mwandu :
Ni wale wale tu! hakuna wengine au? siyo tz bhana
2026-11-02 15:43:07
0
ziada90 :
hongera unaupendo sana ktk jamii
2026-11-02 18:51:10
0
SHITACHANG'WA JR :
kwakweli mama
2026-11-02 14:22:59
0
Eizer :
Asipeleke migogoro ya ardhi tu huko. Maana tunamjua vizuri huyu
2026-11-02 13:43:09
0
Mercy :
😒
2026-11-02 11:09:10
1
❤️ :
❤️
2026-11-02 14:51:46
0
Hasssani :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-11-02 15:32:05
0
T Z 555 :
🤝🤝🤝
2026-11-02 13:40:08
0
Ezbon Elisha :
😳😳😳
2026-11-02 13:07:50
0
Hasssani :
[Hands open][Hands open][Hands open][Hands open][Hands open]
2026-11-02 15:32:00
0
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm
homepage.