Kweli kabisa Shams watu ni wabaya mtu hawez elewa mpka yamkute,na mbaya zaidi wanaotufanyia hivyo ni watu wetu wa karibu mno
2026-11-02 09:49:11
11
PALA SHOES :
kunabinti alikuja kununua kiatu dukan kwangu akakaa nacho wiki mbili alafu akaja kuniludishia anadai hakimtoshi anataka kingine nikamkatalia akaondoka akaniambia haji tena dukani kwangu...mim kimoyon nikasema bola nipoteze mteja mmoja kuliko wengi
2026-11-02 13:23:16
5
Caty_closett :
Very accurate
2026-11-02 10:23:03
0
Jimm_Tzee :
kingine cha kugandisha mambo yako ni maziwa usikubali kabisaa, mtu akupe umtunzie dukani kwako au nyumbani especially yakiwa fresh ni bonge LA uchawii
2026-11-02 17:34:13
0
nicprecious :
washindwe kwa damu y Yesu
2026-11-02 15:06:59
0
Ms Asha 🌸 :
Mi hata mtaja akisahau kitu weeks nakitupa
2026-11-02 10:34:13
1
antifetty'totoz :
Hakika wanadamu wanamengi
2026-11-02 16:58:22
0
aminajuma766 :
HAKIKA
2026-11-02 14:31:11
0
Suzan beauty store :
m nliend kweny kanisa l kinabii mmh ndugu yngu mmh
2026-11-02 11:26:26
0
johnii :
wewe mbona umeniamsha dh sielewi MUNGU atusaidiye mengine hatuyajuwi
2026-11-02 12:03:59
0
S_Yildirm ♌️ :
Hizo nguo za ndani nishapewa sana na mtu na ndugu akiniambia kanunua hazimtoshi toka niko mdogo umenitisha sana au ndo mana sina mtoto??? Kama kuna ubaya basi ajue wala hajanisumbua mume wangu ana watoto tutalea hao kwanza hana hata shida na mtoto mi ndo nilikua na taka so acha tule bata 😂😂😂😂
2026-11-02 12:19:49
0
femione0 :
Mimi nilipost biashara usiku ndo asubuhi watu wakiamka waikute, mmoja akataka usiku huo huo kasisitiza sana nimpeleke na nilivomcheleweshea kesho yako alilamika sana baada ya hapo mauzo yalishuka na mpaka sasa hata biashara ya vitu vyengine sijiskii kufanya
2026-11-02 12:50:09
0
T the boss :
Yan ni kwel kabisa 😍
2026-11-02 09:50:20
0
user6762368283381 :
Ni kweli kaka
2026-11-02 11:07:06
0
shammy :
wallah ukweli mkubwa sana kaka yangu,
2026-11-02 10:28:58
0
Omar🇹🇿🇷🇼🇲🇼 :
boss unatwambia shida lakini solution awutupi
2026-11-02 12:15:06
0
Mimi,com :
Kuna mwanamuziki alipewa kikombe kama zawadi(shukrani)na aliambiwa usipokee akabisha na kuwaona watu wanamuonea wivu!kilicho mkuta ndio kapotea kabisa kila akijaribu kunyanyuka lkn wapi!
2026-11-02 14:28:36
0
Joyous serenity :
@Serenity Joyous @J.J outfits
2026-11-02 11:16:31
0
Muna beauty :
💯✅🥹
2026-11-02 17:14:10
0
To see more videos from user @dukahuru, please go to the Tikwm
homepage.