@richpupp1: Sio kila mtu ana uwezo wa kutunza siri zako kuelewa uzito wa matatizo yako au kuwa bega la kukuegemeza unapokuwa chini Wengine hawana kifua cha kubeba changamoto zako hawana ushauri wa kukujenga wala msaada wa kukutoa kwenye hali unayopitia badala yake wanaweza kutumia udhaifu wako kukuhukumu au kukudharau.