@uhondo.tv: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameitaka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kufuatilia na kujibu shutuma zinazotolewa dhidi ya Tanzania kuhusu masuala ya haki za binadamu, akisisitiza umuhimu wa kuangalia hali halisi ya haki za binadamu ndani na nje ya nchi. Akizungumza leo, Novemba 2, 2026, wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule iliyofanyika Ikulu ya Chamwino, Dodoma, Rais Samia amesema katika dunia ya sasa tafsiri ya masuala ya haki za binadamu imekuwa na changamoto, akibainisha kuwa baadhi ya nchi zinashutumiwa kutokana na mitazamo ya wengine, huku nyingine zikionekana kutokosolewa licha ya tuhuma zinazozikabili. #UhondoTVUPDATES
Uhondo TV
Region: TZ
Monday 02 November 2026 10:02:34 GMT
Music
Download
Comments
MTETEZI WA WANYONGE :
TUMEKUELEWA MAMA
2026-11-02 13:42:00
1
PORNO :
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
2026-11-02 11:14:00
1
mariammuezeshaji :
kweri mama
2026-11-02 16:36:14
0
Mandela mcongo :
Ila jamani mimi dah🫢🫢
2026-11-02 10:24:14
1
jeward thinks :
nbila kuchoka nmkazo mingi 👍👍👍👍
2026-11-02 10:16:09
1
Giftgold :
mmh😅😅😅😅😅😅
2026-11-02 10:11:43
0
Nours Abdullah :
Safii saaaaana [Pray]mama unaona mbali saaaaana [Red heart][Pray]
2026-11-02 12:13:05
0
jimcruz joooh :
😂😂 uyu mama jamani😂😂😂
2026-11-02 11:52:38
0
Moyo Good welly :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-02 10:09:24
0
user4253810711418 :
🌺🌺👋🌺🌺
2026-11-02 14:02:44
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm
homepage.