Huo mziki huyo mama aliimba kwa kulia sana kwa kuomba MUNGU Amuokoe na kumtetea katika mateso , kwa sababu alikuwa anaeleza matatizo na manyanyaso alivyokuwa anayapata kwenye familia 😔 yake kutoka kwa mume wake kwa mateso na vipigo Hadi kupelekea kifo chake 🤧 RIP 🕊️
2026-11-03 13:30:13
1
Mumy💚 :
Nyimbo yang pendwa🙏🏽🙏🏽🙏🏽
2026-11-02 21:47:52
2
malumetz44 :
uu msic daah unanikumbusha miaka 15 iliyopita nikiwa home
2026-11-03 02:37:28
2
mbise plumbing tz :
pumzika kwa amani mama yetu
2026-11-03 04:21:43
2
naomy@❤️ :
This song always I use in my prayers
2026-11-03 10:54:23
1
user debora hakiza :
ni wimbo mzr wa kumtukuza Mungu anasema hakuna Mungu kama ww siku zote ni Mungu mwenye nguvu haubadilikiii