@bil_hikma: Usilipe ubaya kwa ubaya! 💯 ​Kuishi na watu ni sanaa, na haiji bila mtihani. Mtume (ﷺ) alitufundisha kuwa Muislamu anayeingiliana na watu na akavumilia maudhi yao ana ujira mkubwa zaidi. Ukitaka amani ya moyo, jifunze kusamehe na kuvumilia kero za binadamu wenzako. 🤲✨ Kila maudhi unayovumilia kutoka kwa watu, ni daraja na kufutiwa madhambi mbele ya Allah. #mawaidha #fyp #mombasatiktokers #tanzaniantiktok🇹🇿 #sabr

Bil_Hikma🌴
Bil_Hikma🌴
Open In TikTok:
Region: QA
Monday 02 November 2026 11:04:15 GMT
2690
262
3
133

Music

Download

Comments

zainabpaso
Zainab Paso :
Inshallah
2026-11-02 18:05:46
1
kanijoamoky
kanijo OBO47 :
🥰🥰🥰
2026-11-02 16:19:54
1
mrym0790
Mrym :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-11-02 16:46:19
1
To see more videos from user @bil_hikma, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About