Angekuwepo Hayati magufuli haya yasingekuwepo aisee
2026-11-02 13:24:59
269
it's Daggy :
mbona Uganda imeweza
2026-11-02 15:56:47
18
Kassim Mwitu :
tuchukue maamuzi mkononi
2026-11-02 11:29:45
167
Black Beauty1675 :
Serikali haijaamua tu bhana hakuna ugumu hapo
2026-11-02 11:49:54
174
Samking 79 :
VERSE YA COUNTRY WIZZY KWENYE ASANTE
"we feel so lonley ×3
baba you gone
wewe ni my favorite, my superhero, my supermen
we ni zaidi ya kiongozi bora and i don't know if WE CAN IDK" 😭😭
2026-11-03 12:24:00
0
bossah__vanessa🌹🌸🌻 :
Shetan kwel yupo kazini 😭😭
2026-11-02 13:14:49
43
BLACK COBLA TZ :
serikali itoe ruksa kwetu wananchi tunateketeza chap
2026-11-02 15:33:43
125
Karim acro :
Hakunaga majibu ya kueleweka yani daahhh serikali ye2 🥲🥲
2026-11-02 11:27:35
377
AJuKa OnE :
Majibu mepesi sana [Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-03 01:22:34
0
Nyakwar Nyakwaka Konindo :
Apo ingekuwa ni ishu za Chadema ungemuona Muliro
2026-11-02 12:51:36
110
baby face cp :
x muwakamate lkn
2026-11-03 19:34:29
0
Beda juniour :
endeleen kukaa kimya mungu awajalie watoto kama hao 😭😭
2026-11-02 11:50:41
60
user2506578724190 :
wafeeeeeeeeeeeee mbaliiiiii
2026-11-03 05:50:54
0
maysam :
sasa tupe mawazo yako wewe tufanyeje ili tutokomeze hali hii
2026-11-02 12:37:58
14
WAKIMJINI MJINI 😘👌 :
Mnatusema sie tu wafanyaji kwann hamuwazungumzi ?
2026-11-02 12:56:00
4
bigipopa :
mtoa majibu yemwenyewe ndo wale wale2
2026-11-02 12:14:16
29
B A B A W A R D A 🥲 :
ila hayo majibu ni wazi Serikali wapo sambamba [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-02 12:24:12
8
Ivan :
Serikali imekuwa na kigugumizi, majibu yanayotolewa mepesi mno
2026-11-02 12:10:11
16
official mufty :
wao wanaona wale wanafunzi tu
2026-11-02 14:19:41
14
Edith's dady :
kwa hiyo hii vita ni kubwa kuliko ya madawa ya kulevya? mbona kipindi Cha magu walikua hawajiachii hivi
2026-11-02 14:27:02
10
🖤Qüë♌️🖤 :
kindly understand sexuality it's not political issue...u can't stop them from living their life just because you don't prefer their sexual orientation
2026-11-02 18:48:39
1
Su🩷 :
sema tupone babaa🥰🥰🥰❤️🔥
2026-11-04 04:24:07
1
patrisha :
Angekuwepo Magufuli hakuna ugumu
2026-11-03 15:59:08
1
mushauri wa rais :
which country is this?
2026-11-02 12:11:04
4
trecious097 :
Mungu aingilie Kati 😢
2026-11-03 12:34:13
1
To see more videos from user @grandprofessor4, please go to the Tikwm
homepage.