@safariboratanzania: MUDA HAUTOSHI🙌🏽#tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #tiktokviral #safari #safariworld

Safari Bora Tanzania
Safari Bora Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 02 November 2026 12:15:46 GMT
53941
4015
181
84

Music

Download

Comments

alwattan88
HUSSEIN MLENDAS :
yaani muda wote yamevurugwa tu
2026-11-02 14:04:35
70
shafii_pro
Shafiipro :
Camera man🙌🏻🙌🏻🙌🏻
2026-11-02 19:56:14
0
amkanijoh
Mr EK😎 :
nasikia kumbe wale madereva wa sauli wawili wako humu saivi😁😁
2026-11-02 14:52:35
37
yasini266
Yasini Nyande :
tupo nje ya muda 🤣🤣🤣
2026-11-02 15:02:27
22
makerdigitaltz
makerdigital :
muda sio rafiki pls naomba tuelewane
2026-11-02 17:12:19
10
traveller2644
TRAVELLER 💀🛣🛣🦅🦅 :
kwani linawahi wapii😂😂😂
2026-11-02 14:05:53
7
kimwaga_don
kimwaga_don :
tz amna bus zaid ya katarama
2026-11-02 18:23:49
0
bensonirizari6s
bensonIrizarI6s :
Kuna muda madereva wanakaa pembeni wanafanya kazi ya konductors gari zinaenda zenyewe make zishaelewa maelekezo yote.😄
2026-11-02 17:03:32
7
abdullyusuphu
Abdull Yusuphu :
nom san
2026-11-02 17:00:14
0
abdallah.iddy59
MP Abdallah :
Yani hiyo gari unakuta abilia vichaa dereva kachaganyikiwa 🙌
2026-11-02 19:28:29
1
salemclean
salemclean :
hii About around ni Kali sana, Ipo Maseyu kuelekea Kahama Km 30 Kutoka Bunda napitaga hapa Mara Kwa Mara na Shetico Chatter ya Gonja Maore Same🙏🙏
2026-11-02 15:18:56
7
peter.sodoka
Peter sodoka :
kibaha hapo mnyama akata mitaa[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-02 14:19:50
5
user6767135035936
Lau khan Jr ⚽🎧 :
ko kaona kuzunguka atachelewa
2026-11-02 18:04:01
1
treztrez635
Trez_07 :
😂😂😂😂 awa apa awa😂😂🔥🔥🔥🔥🔥
2026-11-02 19:18:17
0
kangaboy5
Kangaboy :
Utazunguka Wewe 😂
2026-11-02 13:07:15
10
simba_aluminium
simba_aluminium🦺 :
Iyo chuma kam sio muelew usipande utahalibu mood😅
2026-11-02 17:41:19
0
zushius8
Queen Wolf🫅🏻 :
napenda magari ya hivi mimi🥰🥰
2026-11-02 17:51:48
0
chief_utelezi
Chief utelezi :
Kazi Nzuri
2026-11-02 16:55:03
0
thiery_kitushi
Thiery Kitushi :
ko kuzunguka kaona atachelewa😅
2026-11-02 16:29:47
1
sofa.bei.rahis.ch
Sofa bei rahis chang'ombe :
Nani ameona dron 😂😂😂
2026-11-02 16:13:02
0
dory40_dory
dory_dory :
Shetani mwenyewe hakaribii hapao anaweza pitiwa 😁😁😁
2026-11-02 16:13:11
1
gujjomsodoki8
Gujjo msodoki :
hàpo wapi
2026-11-02 14:40:48
0
paschalnicholausjo
P~ :
Rally!!!?
2026-11-02 15:16:24
1
aftermath45_0
aftermath45_0🇹🇿 :
nje ya muda🔥🔥💯💯
2026-11-02 15:47:53
1
longineemmanueltheo
Longineemmanuelly :
vishandu hvo 😂😂
2026-11-02 14:37:05
1
To see more videos from user @safariboratanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About