tofauti zetu zisifikie mpaka kudhuriana ktk ummah kwani ipo siku tutakutana na allah s.w na kila mmoja wetu ataulizwa alifanya juhudi gani juu ya ummah huu lakini sio kudhuriana 😭😭😭
2026-11-02 14:33:57
14
jkisalo :
allahuma amiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiin
2026-11-03 05:44:45
1
mbex :
ni kaka wa shekh Mohammed Bakhero au?
2026-11-02 19:47:32
4
ibruza :
to be treated like this in the cause of Allah is my dream
2026-11-02 16:42:19
2
morani :
alifanya nini
2026-11-02 14:41:20
3
Sadiki Muniru :
Hii video ya toka 2014 au 2015
2026-11-02 17:13:16
5
Noughtyrany🎀 :
Hii vdio ya 2015🥹
2026-11-02 18:50:19
2
mil :
Alipigwa na Police?
2026-11-03 05:30:51
1
ummy Sameer 💞 :
Nini kilimkuta sheikh
2026-11-02 14:51:19
4
𝙐𝙈𝙈𝘼𝙏 𝙈𝙐𝙃𝘼𝙈𝙈𝘼𝘿 ﷺ :
sasa mziki unatuwekea wa nn tena sheikh
2026-11-02 14:39:14
3
rastapopulous :
madhmuni yakuweka hii clip ya mambo zaidi ya miaka kumi ilopita ni Nini?
2026-11-02 15:00:24
0
Wa shaka zullu 🇿🇦 :
hii ni ya lini jamani shekhe wangu😳😳
2026-11-02 17:01:49
0
Salum M mbaga :
mungu angu nakuombba aniline mjawako
2026-11-02 22:19:57
2
Eshabukheth🥰🥰💖 :
mpaka Mimi walai naliya😭😭😭
2026-11-02 15:06:24
4
spanner kaza :
ustadh wangu Allah amuhifadh
2026-11-02 19:36:58
3
Jay Barez :
Kati ya wanadamu hamna mkamilifu , imenihuzunisha sana 😔 nimejaribu kuwaeleza waja walo karibu kumwaga damu kwa uhuni sio jihadi uchungu anaohisi nauelewa 😞😞
2026-11-02 20:28:00
0
Abiba Ramadhani :
mungu akape kauri dhabiti siku ya kiama baba.angu😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲🤲amiin
2026-11-02 15:26:26
2
Khalid bin walid :
jina la sheikh wetu plz
2026-11-02 18:33:07
0
Trainer work :
mbon sielew kafanyaje
2026-11-02 15:24:12
1
To see more videos from user @makillahjr_, please go to the Tikwm
homepage.